Recent content by ithangaledi

  1. I

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Umaarufu wa ghafla hautafutwi kwa style ya Makonda
  2. I

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Kama hii ndo inamfanya aonekane anafanya kazi basi aandike kuwa ameumia maana ni juzi tu Tume ya Haki za Binadamu ambayo ni serikali imetoa tamko kuwa Makonda amekiuka taratibu za utawala wa sharia. Ni wakati mwafaka wa kuondoa hivi vyeo vya makaratasi
  3. I

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Hata RC Mulongo wa Mwanza aliomba poo Arusha
  4. I

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Wakuu, Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea amekamatwa kwa amri ya DC Makonda baada ya kutofautiana nae wakati wa kusulushisha mgogoro kati ya Kiwanda cha wachina eneo la EPZ pale External. Polisi wamemchukua na kumpeleka katika kituo cha Magomeni, mawakili wa...
  5. I

    Kasi ya Rais Magufuli: UKAWA imeanza kuwa UKIWA!

    Nimemwambia mkuu, Chama Chake hakina Political Identity kwa sasa, walijipambanua kupambana na CDM wamekwama na yupo peke yake Bungeni na washirika wake wa CCM. Hana tofauti na Cheyo na Mrema. Kwa sasa anashinda kufanya lobbying kwa hali na mali apewe Uenyekiti wa PAC ili aendelee kufanya...
  6. I

    Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

    Hakuna club inayotoa risiti mlangoni bongo, tunaojua ni sisi tunaoenda club sio nyie wapuuzi
  7. I

    Kasi ya Rais Magufuli: UKAWA imeanza kuwa UKIWA!

    Mkuu mbona hii lobbying yako inavuka mipaka???? 1. Kama wataamua kukupa uenyekiti wa PAC watakupa much as utahandle interest zao. 2. We ni mwanasiasa mzuri ila tatizo lako huna identity, sidhani kama siasa za kumsifia Magufuli zitakupeleka popote. 3. Kuna agenda zitakubeba lakini sio hii...
  8. I

    Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo

    Mkuu watu wanabebwa na mihemko na Propaganda za akina Magufuli as if huyo mtu katokea Mbinguni. Kwa sasa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla ni political captives hawaruhusiwi kufanya mkutano wowote, dola imeamua Magufuli tu ndio asikike ili kumjengea Political legitimacy baada ya uchaguzi ambayo...
  9. I

    Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    Mkuu umenikumbusha mbali sana hasa "kiti cha Mohamed Mtoi", nimekutana na Mawazo Kalenga na mara nyingine kadhaa hakika amepotea kiongozi mahiri sana aliyekuwa akisimamia anachoamini.
  10. I

    Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    Masheikh wamekamatwa Zanzibar, kwa nini washtakiwe bara? Pili, ina maana Kinana na serikali yao hawajui due process maana tayari ameshawahukumu kuwa ni magaidi. Katibu Mkuu wa Chama ambaye hajui due process ni balaa
  11. I

    Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    Ukisoma between the lines unaona kuwa Lipumba hakujiuzulu kwa ajili ya kuheshimu dhamira yake bali kuunga mkono Serikali (ya CCM) kuhusu Lowassa. Sasa naona wanazidi kumuumbua mzee wa watu. Pia Kinana anasema "Moderate Opposition "Leaders" kwa maana ya haya maneno na Dr Slaa (Mzee wa kula...
  12. I

    Hongera Mahakama kufunguliwa MwanaHalisi

    Kama ni kweli wamekosea timing maana jamaa watakuja na mambo mazito na hata mfumo unaelewa kazi yao hawa
  13. I

    Hongera Mahakama kufunguliwa MwanaHalisi

    Kuna habari zimezagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Gazeti la Mwanahalisi limefunguliwa baada ya hukumu ya Mahakama leo mchana. Mwenye taarifa zaidi atujuze. Wasalaam.
  14. I

    Msafiri Mtemelwa kugombea ubunge Urambo kwa Samwel Sitta 2015

    Utaumbuka. Weka shuka kabatini
Back
Top Bottom