Kicheba One
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 399
- 194
Wana jamvi kuna taarifa kuwa msafiri mtemelwa anajipanga kugombea ubunge jimboni kwa samwel sitta kupitia chadema mwakani..analalamika vijana wa act kumfuata fuata kwa simu kuwa ajiunge na chama chao lakini hana hata huo mpango yeye ni kamanda wa chadema