Recent content by italy

  1. italy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepewa password ya Facebook na girlfriend kuingia messenger sikuamini Macho yangu

    Jamaa yangu alikuta demu kamwagiza jamaa aje na ndomu
  2. italy

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mpya wa CRDB, Abdulmajid Nsekela atinga Ikulu...

    Sijaelewa kariport ikulu ama crdb .ofisi za crdb zipo ikulu?
  3. italy

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Gwiji la utangazaji Ahmed Jongo afariki dunia

    Apumzike kwa Amani.nakumbuka kazi yake ya kutangaza Mpira miaka ya 90.
  4. italy

    JamiiForums Tanzania Wakuu Nini maoni yako kwa Donald Trump dhidi ya Afrika...

    Trump huwa ni mkweli.anaona jinsi gani afrika tunapata shida na viongozi waliopo madarakani
  5. italy

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Tuendelee kusikia matamko yasiyotekelezeka.ila kiukweli hata Chanel moja hatupati.zaidi ya matangazo ya kichina tu
  6. italy

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Wanachosha sana.
  7. italy

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Siku hizi wanakuambia lipa pesa kwanza ndio wakuwekee Chanel za bure
  8. italy

    JamiiForums Tanzania Gari gani ninunue kati ya Nissan Fuga, Toyota crown na Mark X?

    Kuna NISSAN SKYLINE
  9. italy

    JamiiForums Tanzania Gari gani ninunue kati ya Nissan Fuga, Toyota crown na Mark X?

    Nunua Amarok VW hutakaa ujute ktika misha yako.
  10. italy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

    Naomba mungu vifutwe vyote.Ila kumbuka UPIn zani ukifa tunaanza na nyie.nyama ya MTU tamu bwana Asikuambie .tu
  11. italy

    JamiiForums Tanzania Stori ya Aida Olomi: Dada aliyepigwa risasi maandamano ya CHADEMA

    Unaonaje tukaishi kwa chama kimoja ili kuondokana na maandamano ya hapa na pale ya vyama vingi visivyo na maana
  12. italy

    JamiiForums Tanzania Stori ya Aida Olomi: Dada aliyepigwa risasi maandamano ya CHADEMA

    Pia ukumbuke mambo ni zamu kwa zamu.Leo wewe unakula goodtime kesho itakuwa zamu ya kizazi chako kula mkong'oto
  13. italy

    JamiiForums Tanzania DAR: Waziri Ndalichako, Anna Makakala wa Uhamiaji na TCU watinga chuo kikuu cha Kampala. Wafanyakazi 30 wakamatwa

    Hivi Hawa wachina woote hapa kkoo wako sawa.
Back
Top Bottom