Namba kwa mtu yeyote anayejua set up za email. Naomba nijue mnafanyaje ili kila napo tuma email zangu kwa watu mbalimbali ziwe zinaapia na full address kwa chini bila kuwa naandika mara kwa mara kwa chini. Shukrani kwa masaada wenu.
Mh. Dr. Slaa.
Naomba kuwasillisha hoja zangu 2 kwa sababu wewe ndo unapaswa kubeba hizi rawama moja kwa moja ukiwa ndo mtendaji mkuu.
1. Wabunge wetu wote wawili jijini Mwanza wameamia Dar es salaam pamoja na familia zao wanakula maraha, na wakiacha mwanza haina viongozi wa kuwatetea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.