Recent content by Isyaaa

  1. I

    JamiiForums Tanzania naombeni msaada wa kazi za vibarua walau sh 10 kwa siku

    Uko sahihi mkuu, hata mimi niipiga nikajibiwa kwa mshangao mkubwa kuwa oooohh...hajawahi kuweka namba humu.. Ila sio vizuri kama huna uwezo wa kumsaidia mtu kwanini ujipendekeze kwa kufanya hivyo? Inakera sana.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kama kijana hujaaajiriwa pita hapa

    0656452197
  3. I

    JamiiForums Tanzania Vietell Tanzania LTD (kampuni mpya ya simu) inatangaza ajira 2000 tanzania katika ngazi mbali mbali

    Nikitumia ile form ya mwanzo ni sahihi mkuu?
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya wadada/wanawake kubadilisha status kwa hitilafu ndogo za kwenye uhusiano

    mbona wanaume kibao pia wanaweka haya mambo!!! au ndio mmewaona wadada tu?
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gesti nzuri bei ndogo

    teh teh....umenichekesha wewe!! mabibo moja hiyo..ntakuwa nakufahamu wewe..kumbe ni bei rahisi hivyo?
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabila gani zuri jamani la kuoa?

    mawazo mgando.
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabila gani zuri jamani la kuoa?

    heri yako unayeoa kabila na sio mke.
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kuitwa Demu mbele yangu, nimejiuliza mengi

    jiamini mkuu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Diamond Jubilee Hall ipo sehemu gani kwa Dar es Salaam nimeitwa Interview

    Watu humu sijui mkoje?,, ustaarabu ni kitu cha bure na wengi wetu humu ni wasomi, hebu tuache hizi habari za kupashana!! tuwaachie waimba taarabu.
  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupendwa raha jamani

    plus mama ako, dada ako,shangazi yako na wengineo woote wanaokuhusu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    Usiogopeshe na hili mkuu, humu wapo watu tofautitofauti na wenye mawazo ya kujenga na kukatisha tamaa. muhimu kwako ni kwamba simamia unachokiamini.
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaza sana, nisadieni

    huyo mtoto anaumri gani mkuu?? kama mama mkwe wako anamudu kumlea mpelekeni na mmpe sapoti ya kumtunza huyo mtoto.. kama inashindikana mlee tu mkuu. kwani ukipenda boga ukumbuke kupenda na maua yake.
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe hawa wavaa sketi wetu kumbe ni bure kabisa

    ya kuwa na mwanaume mbeya
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe hawa wavaa sketi wetu kumbe ni bure kabisa

    Yaani ningekuwa na mwanaume kama wewe ningejionea huruma sana.....inakuwaje kitu kidogo hivyo anakuuliza mkeo unakimbilia kukileta hapa?? uko sawa kweli?? umekamilika kweli wewe?? nahisi we ni mwanaume mbeya.!!
Back
Top Bottom