Kupendwa raha jamani

Kupendwa raha jamani

Unaamshwa asubuhi, Unatayarishiwa maji ya kuoga, Unaandaliwa nguo za kuvaa kwa siku hiyo, Unaandaliwa chai au brekefast kwa kizungu aaah
Unapewa maneno ya kutiwa moyo na mwandani wako, Njiani unasindikizwa kwa simu ya mwandani au sms , Ukifika job au kibaruani unaanmbiwa "kazi njema".

Unakumbushwa kula chakula cha mchana na mwandani kwa simu au sms, Jioni unapewa dondoo za stori na mwandani kabla ya kutoka ili upate hamu ya kurudi nyumbani mapema Ukifika mwandani anakupokea na kukupa pole kwa namna anavyojua yeye, Unakaa kwenye kochi anakuwashia Tv anakuwekea kipindi ukipendacho. Unaletewa chai ya kutayarisha tumbo kbla ya mlo wa usiku.

Hapo sasa ratiba inajishona yenyewe baada ya kula chakula cha jioni (dinner).

Mwasemaje wadau?

Huyo ni mwandani wa kufikirika...hayupo katika dunia hii ya leo! Hata ukiwa na hela ka mzee Reggie!
 
Yani kwa sie wa siku nyingi kidogo humu tushawazoea ...
Humu wanga wengi sana...
All they want to hear ni watu wanalia lia na ndoa zao...
Ndio wao roho zao zinatulia...
Kama si wanga ni nini?????

Ukisema kupendwa raha wanakujibu subiri miaka 5...
te te te...watasubiri miaka mia nane (800)

Watu wana roho za uchungu,ghubu na wivu jamani humu dunian...mtoa mada anapata raha ya ndoa/mahusiano yake,wewe unaleta stress zako hapa za ndoa chungu sijui wengine wanalia ndani ya ndoa..yaan umekaa kimaumivumaumivu tu unataka na wengine waishi kama wewe katika mahusiano yako,wewe ni wewe na wengine ni wengine..watu toka waoane mambo ni mazuri kabisa,kuna kutofautiana mtazamo ila hawajagombana hata siku moja kama wewe hadi unalala na kisu chini ya kitanda badala ya asali ya mahaba na mafuta yakuchua mwili pemben,..wewe au huyo mwenzako kwa pamoja au tofauti mliharibu mahusiano yenu,sasa unaleta hoja za maumivu yako ili wengine waogope au??wakati mwingine tuwe tunajadili na raha za mahusiano siyo maumivu tu...namna hii uadui unazidi kuongezeka katika jamii...kama unapataga maumivu tu waone wazoefu wakupe mbinu unenepe roho kwa mapenzi..ndiyo kusema MAUMIVU YA MAPENZI YANATIBIWA NA MAPENZI SIYO VINGINEVYO....kupendwa raha mtoa mada...
 
Dr umefanya research au unaongelea experience yako ...?
Kwa nini mnaona mapenzi kwenye ndoa kama ni kitu kisowezekana?

Huyo ni mwandani wa kufikirika...hayupo katika dunia hii ya leo! Hata ukiwa na hela ka mzee Reggie!
 
Unaamshwa asubuhi, Unatayarishiwa maji ya kuoga, Unaandaliwa nguo za kuvaa kwa siku hiyo, Unaandaliwa chai au brekefast kwa kizungu aaah
Unapewa maneno ya kutiwa moyo na mwandani wako, Njiani unasindikizwa kwa simu ya mwandani au sms , Ukifika job au kibaruani unaanmbiwa "kazi njema".

Unakumbushwa kula chakula cha mchana na mwandani kwa simu au sms, Jioni unapewa dondoo za stori na mwandani kabla ya kutoka ili upate hamu ya kurudi nyumbani mapema Ukifika mwandani anakupokea na kukupa pole kwa namna anavyojua yeye, Unakaa kwenye kochi anakuwashia Tv anakuwekea kipindi

Mwasemaje wadau?
huku unapigiwa simu ukiwa job muuza nanihii ameshika kiuno cha mkeo
 
Unaamshwa asubuhi, Unatayarishiwa maji ya kuoga, Unaandaliwa nguo za kuvaa kwa siku hiyo, Unaandaliwa chai au brekefast kwa kizungu aaah
Unapewa maneno ya kutiwa moyo na mwandani wako, Njiani unasindikizwa kwa simu ya mwandani au sms , Ukifika job au kibaruani unaanmbiwa "kazi njema".

Unakumbushwa kula chakula cha mchana na mwandani kwa simu au sms, Jioni unapewa dondoo za stori na mwandani kabla ya kutoka ili upate hamu ya kurudi nyumbani mapema Ukifika mwandani anakupokea na kukupa pole kwa namna anavyojua yeye, Unakaa kwenye kochi anakuwashia Tv anakuwekea kipindi ukipendacho. Unaletewa chai ya kutayarisha tumbo kbla ya mlo wa usiku.

Hapo sasa ratiba inajishona yenyewe baada ya kula chakula cha jioni (dinner).

Mwasemaje wadau?

sawa kabisa mdau kama unapata hayo unayoyasema hongera sana huo ndio wajibu was mwanandani wako katika maswala ya ndoa. lakini inafanyika kwa muda gani? Ni ule mwanzo tu wa ndoa so katikati au mwisho sababu wanawake so viumbe walio kamili Ni mashetani kama nyoka aliewadanganya.
 
Bora useme tu, ingawaje wengi wetu humu hawapendi mtu aposti raha anazopata ndoani mwake.

Humu watu wanataka kuskia " jamani mwenzunu ndoa imenishinda" .Humu duniani kuna watu wanafuraia ndoa zao mpaka ukiona mwenyewe unapenda.
 
sawa kabisa mdau kama unapata hayo unayoyasema hongera sana huo ndio wajibu was mwanandani wako katika maswala ya ndoa. lakini inafanyika kwa muda gani? Ni ule mwanzo tu wa ndoa so katikati au mwisho sababu wanawake so viumbe walio kamili Ni mashetani kama nyoka aliewadanganya.

plus mama ako, dada ako,shangazi yako na wengineo woote wanaokuhusu.
 
Back
Top Bottom