Natafuta kazi yeyote

Natafuta kazi yeyote

we mdada ww!! Njoo tuishi geto maana nipo mpweke! Utakula, utakunywa na utakunya bure! Ila nina chumba kimoja km upo tayari ni PM.
 
No yangu ya simu ni 0718198253 niko ---- tayari mdau wa sea clif tuwasiliane.
 
Thanks very much watu wengine wanadhani mimi natania lakini hawajui uchungu wa kutafuta elimu sio rahisi kuweka information zangu zote mtandaoni lakini mimi niko serious natafuta kazi kwa ajili ya kusaport elimu yangu nimejieleza hapo vizuri tu kwania njema ila watu wengine wameshaanza kuniita tapeli kweli watanzania! kuna njia nyingi tu mbadala ningeweza kuzitumia kupata pesa lakini mwisho wake si mzuri kwa nini tunakatishana tamaa wadau? mnatakiwa kunisapoti na kunipa moyo na si kuni vunja moyo.
 
Kuna kazi ya ndani mbezi beach lakini hofu yangu unaweza ukaikosa kama utasema wewe ni mwanachuo yeye anataka mfanya kazi toka vijijini coz anaogopa wa mjini ni wajanja sana ujibu ujumbe huu nitakwambia wapi ufike kwa interview
 
Wadau kama kuna kazi pia nipo ni mwanachuo Udsm mwaka wa NNE sheria Nina uwezo wa kufanya kazi siku NNE kwa week. Asanteni
 
hahahaha watu mna shida humu.. hahahahahha dada nahs ushapata kazi manake ofa kibao zimekuja
 
Thanks very much watu wengine wanadhani mimi natania lakini hawajui uchungu wa kutafuta elimu sio rahisi kuweka information zangu zote mtandaoni lakini mimi niko serious natafuta kazi kwa ajili ya kusaport elimu yangu nimejieleza hapo vizuri tu kwania njema ila watu wengine wameshaanza kuniita tapeli kweli watanzania! kuna njia nyingi tu mbadala ningeweza kuzitumia kupata pesa lakini mwisho wake si mzuri kwa nini tunakatishana tamaa wadau? mnatakiwa kunisapoti na kunipa moyo na si kuni vunja moyo.

Usiogopeshe na hili mkuu, humu wapo watu tofautitofauti na wenye mawazo ya kujenga na kukatisha tamaa. muhimu kwako ni kwamba simamia unachokiamini.
 
Back
Top Bottom