Recent content by issasele

  1. I

    Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

    Usimtekelezee, msijekugomea mtoto na mwenye mke bure. MwambievNdoa si watoto bali watoto ni matokeo ya ndoa
  2. I

    Fungua hapaaaa!

    ukweli ni kuwa mada hii ni nzuri sana. ila kichwa cha habari kama inawezekana kifanyiwe marekebisho. Elimu yetu hata kule VETA naona ni mh!!! kuajiriwa na si kujiajiri. Na ukiajiriwa tu imepotea elimu yako.
  3. I

    Nailani sana heslb

    inasikitisha mno ukikosa mkopo.Ila itafutwe njia ya kudumu kwa jambo hili
  4. I

    Mme wangu alinigeuza DISPLAY kwa hawara yake hotelini bila mimi kujua

    funguka bro sikuelewa. Nimesema kama ndo ninayoifahamu. nimekua nikiisoma tu kama guest. Kama siye haipotezi kitu. Nimeona, nimetoa maoni shida iko wapi. Sisi ni kutoa maoni tu au kunyamaza. lakini kama ndiye ninaye mfahamu mmewe ni moto. maadamu hakutajwa basi sijipi uhakika wa 100%.
  5. I

    Serikali wakaechini kutatua matatizo na waislam

    Ni ukweli usiopingika, serikali ikae chini kutatua matatizo sugu ya waislamu. Hii ndiyo maana ya serikali. si kuingia na kutoka tu ofisini wakati kuna jambo gumu kama hili
  6. I

    Mme wangu alinigeuza DISPLAY kwa hawara yake hotelini bila mimi kujua

    Kesi hii kama ndio ninayoifahamu, mama huyu ni mtu wa dini sana sana, alimwamini sana mmewe. lakini sisi tunaomjua mmewe... yatosha. Na ana bongo sana mama huyu (kama ndiye ninayemfahamu) hapa jamii anakusanya vilaka vya anachohitaji, akakamilishe alilonalo kichwani. Msimdharau hata kidogo
Back
Top Bottom