Mme wangu alinigeuza DISPLAY kwa hawara yake hotelini bila mimi kujua

MBILIA kweli katika ushauri wa yoote tunayokushauri hujaona wa kuufanyia kazi mamii!mbona unanitisha antie,
hujiamini kabisa!unalalalmika as af wewe si mke halali wa huyo jaji!
mwalimu wangu wa philosophy alinifundisha kitu kinaitwa APPEAL TO PITY!
hizi pities zetu humu hazikusaidii if at all that what yu need from us!
nilikupa njia nyingi sana za kufanya!
mwanaume anayekufikisha hapa kihisia unajali nini kama kakufanya display au kuboard kwa kimada wake!mbona yapo mengi sana ambayo ameshakuumiza kwayo kiasi ya hili kukumiza kiasi hiki!
unataka tukusaidie vipi!?
mimi naumiza zaidi kuhusu haya unayopost hapa yatafanya young marrieds washindwe kukabili changamoto za ndoa zao wakiamini katika haya unayoyazungumza kuhusu mume wako na jinsi unavolichukulia hili swala\
kila mtu akitaja mume wake kaongea na nani kwenye simu na amezaa na nani,.au amefanywa nini na mumewe ndo dunia inakuwa kitu gani sasa
marehemu mama yangu aliwahi kuniambia kitu nikiwa mdogo sana lakini sasa kwenye maisha haya ndoa nakielewa
aliniambia hivi ''
''..........(jina langu)katika maisha shida yako usiivalie chupi nyekunde katika kisalfeti''
usemi huo sikuuelewa by that tyme lakini sasa nikiwa mama,mke,mwalimu,dada,wifi,mkamwana,mdogo,rafiki,shosti ndo naelewa aliloniambia mama yangu!R.I.P mum!
 
Last edited by a moderator:
POLE mwaya, najua maumivu yake yakoje.. watu hawajui uchungu na maumivu ya kusalitiwa yakoje mpaka na wao yawakute japo mara moja ndio wataelewa..
kaa chini na mume wako umueleze mwanzo mwisho..tumia busara, ongea kwa upole sana na wala usitumie ukali na lugha chafu..kama kwa sasa una hasira, basi subiri mpaka hasira zitakapopungua..ni vizuri maongezi hayo ukayafanya nje ya nyumbani kama hoteli hivi..ikibidi mlale hukohuko siku hiyo...
mwambie kama yuko tayari kuendelea na ndoa basi amuache huyo binti..mpe masharti kadhaa ambayo unaona yanafaa...endelea kumfuatilia baada ya hapo ili kuona km amebadilika au la.

kama akikubali basi msamehe mume wako, na muendelee kuishi kama mke na mume..wakati mwingine ni shetani tu mamangu, na visichana vya siku hizi huwa havisubiri kutongozwa bali vinajipitishapitisha kwa waume zetu, hasa wakiona kuna chochote(which is obvious)
usimuache mume wako wa miaka 21, ni muda mrefu, mkalishe chini na muongee, muyamalize wenyewe..ninyi mumeshakuwa watu wazima...nawe kwa upande wako tazama madhaifu yako, inawezekana kuna kasoro 2-3 ambazo zimemboa akaamua kwenda nje..mwambie mumeo akueleze mapungufu yako ujirekebishe..

Hayo ni majaribu tu ya maisha ya ndoa mamangu, usikate tamaa, amini nakwambia mkivuka kivuko hicho mtaishi maisha ya amani sana(km mumeo atajirekebisha)..kila mmoja kati yenu atakuwa makini na upande wake na kuangalia mapungufu yake na kujirekebisha..mara nyingi ndoa inakuwa imara sana baada ya misukosuko mikubwa kama hiyo..
kamusi haya unayomwambia MBILIA tulishayanya sana tena na maombi juu!lakini nafikiri sicho anachohitaji kutoka kwetu!
sio kwamba htujui maumivu yake kwani na sisi wengine ni wanawake tena wenye ndoa zamuda mrefu tu kwa hiyo we are not speaking just from mere assumptions.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta hobby au jambo la kukukeep bize mfano wawezakuchukua course ya kusoma lugha ya kigeni n.k
 
Kama amekufanya display, nake it worth the show. Ngoja lara 1 aje kufafanua how.
 
Last edited by a moderator:
Kesi hii kama ndio ninayoifahamu, mama huyu ni mtu wa dini sana sana, alimwamini sana mmewe. lakini sisi tunaomjua mmewe... yatosha. Na ana bongo sana mama huyu (kama ndiye ninayemfahamu) hapa jamii anakusanya vilaka vya anachohitaji, akakamilishe alilonalo kichwani. Msimdharau hata kidogo
 
Kesi hii kama ndio ninayoifahamu, mama huyu ni mtu wa dini sana sana, alimwamini sana mmewe. lakini sisi tunaomjua mmewe... yatosha. Na ana bongo sana mama huyu (kama ndiye ninayemfahamu) hapa jamii anakusanya vilaka vya anachohitaji, akakamilishe alilonalo kichwani. Msimdharau hata kidogo

Umejiunga JF ili kutupa taarifa?..............vipi ulikuwa unamsoma ukiwa kama guest au ndiye mwenyewe katika sura mpya
 
Duh mbilia kamtuma PR wake kuweka ishu sawa, tusaidie"display"imetupitia kushoto
 
Mashaka matupu......inatakiwa umakini ukiamua kudanganya!!!

funguka bro sikuelewa. Nimesema kama ndo ninayoifahamu. nimekua nikiisoma tu kama guest. Kama siye haipotezi kitu. Nimeona, nimetoa maoni shida iko wapi. Sisi ni kutoa maoni tu au kunyamaza. lakini kama ndiye ninaye mfahamu mmewe ni moto. maadamu hakutajwa basi sijipi uhakika wa 100%.
 
Umeushtukia mwandiko nini? Very smart of you. Mimi nilimuuliza lara 1 kama kanionea Rose 1980, hata sikujibiwa! LOL

Nafikiri baada ya kuona upepo umemuelemea na watu kushuku "uadilifu wake" akaamua kuja kivingine kutunza heshima.
Halafu ni kwa nini mtu uchonge kinyago halafu kikutishe mwenyewe au ufagie na kuficha uchafu kwenye kapeti? Si baadaye unapata maradhi au allergy kabisa.
 
huyu mama kweli sijui she is real the true wife ama ni kimada anapozi kwa stail hii? nina doubts kabisa kwamba anawezekana akawa ni somebody kazalishwa na jaji sasa anatafuta groungs at least aweze kupewa kaurithi chezeya maujanja ya mjini.......

sasa mmi nawashuri akina Kaunga, Kongosho na nyumba kubwa kwamba waendelee watagundua the hidden thing in it, mm namjua mtu alishawah kupoz as wife of somebody na aliweza kufile devorce just bse alizalishwa na alikuwa anahaudumiwa na huyu bwana for 3 yrs na sasa anataka amtaliki aanze maisha mapya na allisema kabisa wa miaka 3 niliokaa naye nimekuwa namtumikia kumfanyia kazi na hata nyumba tulio jenga tumejenga wote ila kiwanja alinunua yeye. na ujenzi tulishirikiana.

jaman mjini kuna mambo acha kabisa ngoja niwe mtazamaji tu..........
 
Last edited by a moderator:
Kesi hii kama ndio ninayoifahamu, mama huyu ni mtu wa dini sana sana, alimwamini sana mmewe. lakini sisi tunaomjua mmewe... yatosha. Na ana bongo sana mama huyu (kama ndiye ninayemfahamu) hapa jamii anakusanya vilaka vya anachohitaji, akakamilishe alilonalo kichwani. Msimdharau hata kidogo

jamani unganisheni mistari mtajionea wenyewe.

janja ya mujini hii wenye macho yetu huwa tunayaona toka mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hapa muulize hata snowhite, kuna utaratibu siku hizi wa vimada kupozi kama wake halali......

tuliozoea mji tunasema ujanja kupata si kuwah atiiiiiiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom