Recent content by Issahk

  1. Issahk

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya rais, Waislam kuandamana ni lazima: vinginevyo....

    Hapa ndo unakuja ule usemi.. "unajibagua mwenyewe kabla haujabaguliwa"... swali dogo tu.. ivi kesi ya hao mashekh ni sababu ya imani yao au sababu ya matukio wanayohusika nayo!? Mbna mnachanganya vitu ili mradi kuamsha hisia za wengi ili kutokee taharuki nchini.. rais ndo msimamiz wa vyombo vya...
  2. Issahk

    JamiiForums Tanzania Shirika la Wanawake Afrika lamshukia Magufuli kuhusu Mimba mashuleni

    Kama mnaogopa kushangaliwa na dunia basi pitisheni na ushoga.. si ndo dunia ya sasa inavotaka.. hizi mimba za shuleni sio za kuzichekea ata kidogo..
  3. Issahk

    JamiiForums Tanzania CCM na mbinu za kubana pua

    Mbna hakieleweki aiseeeee
  4. Issahk

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Malima na Polisi ni wa Kawaida

    Ila viongoz waache dharau kwa askari.. kama askari alifikia kumfanyia vle muheshimiwa ujue alikadhabika sana.
  5. Issahk

    JamiiForums Tanzania Magufuli mpe ubunge mwanamama Dr. Frannie Léautier

    Hii makala ukiangalia kwa jicho la tatu ni mtu anaehitaji jinsi ya kupenya kwenye siasa za tanzania.. na je kwann!? Maana kwa CV hyo inahitaji uzalendo mkubwa mno kurudi nyumbani TZ na kutaka ubunge tu!.. mi nahisi kuna urais wa mwaka 2025 unatafutwa apa..
  6. Issahk

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu: Anzeni na waliyosoma shule za Serikali kwanza

    Bro embu kaangalie ada za medical schools then uandike tena hyo makala yako ya uwezo wa kusomesha mtoto private.. mzazi analipa milion mbili ila ndo kashamaliza kuanzia chakula sehem ya kulala mpaka uniforms za huyo mtoto.. medical school ni million nne ada.. malazi na chakula mwaka mzima...
  7. Issahk

    JamiiForums Tanzania Mbowe hukumsikiliza Dkt. Slaa, sasa umeizika CHADEMA!.

    Hao unaosema wapewe ndo watakuja kuweka na msalaba kabisa.. jembe lilosimama kwenye ukweli lilishasepa.. waliobaki wengi misimamo yao ni haieleweki.. inatuvunja moyo wapinzani.. tukianzia kwa lowassa.. kugoma bungeni.. ukuta.. yani mambo hayasimami pahala pake..
  8. Issahk

    JamiiForums Tanzania Tuache kuitupia Serikali lawama dhidi ya wanafunzi waliokosa mikopo

    Ila we jamaa ni buyu kichizi.. ulivoandika kwa umakini afu kumbe ni makorokocho matupu.. sio sababu hujafika chuo kikuu basi iwe shida.. bora ukae kimya..
  9. Issahk

    JamiiForums Tanzania Wapinzani hawapingi ununuzi wa ndege, wanachoshangaa ni "ushamba" wa ushangialiaji, kweli ni aibu

    Sisi waTZ sijui nani katuloga.. yani najiuliza mfano serikali ingejipinda hzo ndege mbili hela yake wangeifadhi ifike wanunue hayo mandege makubwa ambayo yatakua hayawezi kutua viwanja vingi vya ndani na zikawa ni gharama kuzipanda kwa safari iwe laki mbili.. Wakati uo uo watu wanalaani safari...
  10. Issahk

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakuanza hivi na wapinzani.

    Siku magufuli anaapishwa kua rais alikua akisisitiza mno.. Tena kwa msemo wake wa kila siku "kutoka moyoni mwangu.. Nitashirikiana na mtu yoyote kujenga maendeleo.. Sitabagua".. Hii kauli aliitumia sana.. Mpaka tukahisi labda anajipendekeza upinzani.. Ila hatukumuelewa.. Magufuli...
Back
Top Bottom