Issahk
Member
- Aug 29, 2016
- 11
- 9
Siku magufuli anaapishwa kua rais alikua akisisitiza mno.. Tena kwa msemo wake wa kila siku "kutoka moyoni mwangu.. Nitashirikiana na mtu yoyote kujenga maendeleo.. Sitabagua"..
Hii kauli aliitumia sana.. Mpaka tukahisi labda anajipendekeza upinzani.. Ila hatukumuelewa..
Magufuli atajipendekeza kwa yoyote ambae anaonesha nia ya kusaidia hii nchi iende mbele kimaendeleo.. Na amefanya mengi adi sasa ambayo yanasaidia hii nchi na sio kwa faida binafsi bali kwa nia dhati ya kusaidia hii nchi.
Wote tunajua kuteuliwa kwa magufuli kuawania kua rais kwa tiketi ya CCM ni kutokana na wingu kubwa la upinzani lililokua tishio.. kama si hvyo labda tungekua na rais mwingne kutoka CCM.. Kwahyo upinzani ilikua ni chachu ya CCM kuchagua rais ambae wasingepata nae shida kwenye uchaguzi.
Hii inaonesha magufuli anatakiwa auheshim sana upinzani ambao aliahidi kufanya nao kazi bila kinyongo. Na ninaamini alikua anamaanisha ila tu kwa mambo ya maendeleo ya hii nchi.
Ila tatzo limekua kwa wapinzani.. Tangu mwaka 2005 upinzani umepanda chati sana kwa kusema mambo ambayo serikali zilizopita zilishindwa kusimamia sawa sawa.. Hasa utendaji na ubadhilifu.
Na ndio maana ata mafugufuli alivoanza kwa hvyo vtu ilionekana kama anaiga wapinzani ingawaje ni kitu sahihi ambacho kilikua kinahitajika na ndio haki au ukweli na si jukum la upinzani pekee.
Ila upinzani inabidi ikubali kitu kimoja.. Umaarufu wao unapungua kwenye midomo ya watu sababu "strategy" walokua wakiitumia miaka yote ilopita ndio ambayo magufuli amesimamia kweli kweli..
Hii inahitaji upinzani kutumia akili sana ili kueza kubaki kwenye chat na kuitingisha tena CCM mwaka 2020 bila sivyo watauuwa upinzani kabisa.. Watu hua wanauliza.. "Sasa unataka upinzani wafanye nn kama sio kukosoa serikali?".. Ni sahihi wanatakiwa kukosoa serikali.. Ila sio kwa kupinga tu bali kwa kuonyesha njia mbadala na maarifa zaid kuliko ambayo rais anafanya.. Au kurud na kukaa na majimbo yao kwa muda mrefu na kutatua kero zao kama anachofanya zitto.. Ili ikifika 2020 kuwe na tofaut ya majimbo ya upinzani na watawala.. Ili kuleta chachu na maeneo mengne.. Badala ya kushindana maneno na serikali au kuweka pingamizi ambazo sisi wananchi wa chini hatutakua na faida nazo zaid ya hasara.. Mfano kususia bunge.. Watu wanakosa wawakilishi wao bungeni ni kitu ambacho akipendezi.
Ukiangalia kipindi hiki upinzani wamekua waki "tackle" vitu ambavyo ni muhim ila sio vya tija ya moja kwa moja kwa mtanzania masikini anae hitaji kupeleka mtoto shule akasome.. Au ane hitaji maji kijijini kwake.. Au anaehitaji huduma ya hospitali.. Mwananchi anaehitaji barabara afike haraka anapoenda..
Magufuli amekua akila sahani moja na hivi vitu ambavyo atakuja kujivunia kwa wananchi wa chini kabisa ambao ni wengi.. Wakati upinzani wakitaka bunge live.. Sheria ya katiba ifatwe.. Uhuru wa kuongea.. Ambavyo ni muhim ila kwa mtanzania masikini wa sasa kijijin anavitu vizito zaid vinavyompa challenge kuliko haya ambayo unahitaji msaada wa elimu kuelewa..
Hapa ndio magufuli anawaacha wapinzani na kutoshirikiana nao kama alivyoahidi.. Maana yeye ana dili na matatzo ya kila siku ambayo masikini wa mwisho anahitaji tena ni matatizo halisia na mtu anapata nayo shida.. Mfano elimu.. Maji.. Hospitali.. Barabara..
Wakati upinzani wakihimiza ukuta ambao unahitaji kukaa chini uelewe na usome katiba na vifungu vinavyovunjwa na magufuli na haki zako.. Ambavyo unaeza ukaambiwa na upinzani kua amekosea na ukaambiwa na mwanasheria huyu kua magufuri alipatia.. Ni kitu ambacho mtanzania mwenzangu kijijini haitaji saiv.. Hasa pale anapoona matatzo ya mtoto shule kulipia ada amna au maji alokua akiyafata kilomita 6 sasa anayapata..
Upinzania ichague njia nzuri ya kum challenge magufuri bila sivyo upinzani utapotea..
Na magufuli anaeza onekana kua "harsh" kwa upinzani ila wote tunaelewa hakuingia madarakani kuupania upinzani.. Yeye ni mtu wa vitendo na anasimamia analoamini ni sahihi (na alichosisimamia kwenye maendeleo ni sahihi kweli) na hata kwenye chama chake wanatambua..
Ila kilichotokea ni kupishana kwa mawazo huku ya magufuli na upinzani..
Magufuli amekua akiwaza kufanya maendeleo ya haraka na yenye tija kwa mwananchi wa chini..
Upinzani ukiwa ume focus kutopoteza "popularity" yake kwa wananchi..
Huu ndio ukweli.. Ambao unamfanya magufuli kua mwiba kwa upinzani kuliko ata walokua wanahofia kwenye chama chake..