mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
Wanajf, salaam!!
Katika taifa kama hili linalokuwa - taifa ambalo watumishi ama wananchi hawajawa na uelewa mzuri juu ya sheria za nchi kitendo cha polisi aliyefyatua risasi sita juu ni cha kawaida kabisa.
Askari hakutakiwa kufyatua risasi badala yake alipaswa kutumia diplomatic ways za kupata suluhu, ikiwa kigoma angekataa bila nguvu wa kuleta hamaki angefunguwa jalada dhidi yake kwa kuwa mtuhumiwa si mtu wa kupotea.
Kwa upande wao kigoma - namsifu kwa kuwa ktk video zilizozagaa haonekani akitumia nguvu dhidi ya askari aliyefyatua risasi hewani. Nadhani kwake ni vizuri jalada hilo kupelekwa mahakamani kwa kuwa mwisho wa siku umma utagunduwa busara za chombo cha kimahakama.
Nachoomba - jeshi la polisi jitahidini kuwa rafiki wa wananchi kazi zenu zitakuwa na ufanisi mkubwa. Lakini pia tumieni kitengo cha polisi jamii kuwafundisha askari juu ni wakati gani tunaweza kutumia salaha zao kwa kuzingatia mkitadha wa kigoma malima. Askari hasa namba H, G nk ni wageni hivyo wanahitaji kuelimishwa mara kwa mara ili wasiharibu taswira ya jeshi letu.
Vinginevyo wanajf, endeleeni kuunganisha nguvu zenu ktk kupinga vitendo viovu vifanywavyo na askari au wananchi waovu.
Pole sana comrade KIGOMA MALIMA