Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,142
- 26,132
Hawa watu wanaforce kudidimiza upinzani kwa nguvu, sasa wamevuka mipaka wakidhani kwa kustage kashfa dhidi ya upinzani ndio salama yao!
Salama yenu CCM ni kuwaletea wananchi maendeleo, kutoa elimu bora, huduma za afya na kadhalika! Kubana pua kuframe upinzani hakutawasaidia!
Mbaya zaidi people behind hawana upeo mkubwa, wanaacha lose ends nyingi, sakata la voice note wameumbuka mapema kweupee!
Bado anatafutwa wa kuiga sauti ya Lissu, sijui watakuja na story ipi mpya!