Kwan kuna mkataba gan umeongelewa apo kwenye ripot??
The issue is watendaji wa serikali ndo wamesababisha upotevu wa pesa kwa kutokuripot wizi uliokuwa unaendelea kwa maslahi binafsi ndo maana mkuu kaamuru wachukuliwe hatua na haina uhusiano wowote na mkataba hadi hatua hii may be baadae...
Huku jf hakuna maana yoyote maana kila mtu anaongea kulingana na uwezo wa akili yake tu hakuna cha great thinker wala nn, mi naingia huku kutoa stress tu ila hakuna cha ziada tunamtengezea mero kamisheni tu aendelee kuwa tajiri!!
Asalaam aleykum ndugu zangu,
naomba kupata maelezo jinsi ya kupata machine ya betting naihitaji sana maana huku mtaani kwetu ipo moja tu, nataka niwapunguzie folen vijana maana hii pia ni ajira kwa vijana wanapata pesa za bwerereee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.