Recent content by issa maneno

  1. I

    msaada wa kimawazo

    ahsante kwa wale wote walionishaur sina cha kuwalipa ila mola ndo ajuaye lakini bado nahitaj ushaur zaid ili ndoto zangu zitimie
  2. I

    msaada wa kimawazo

    asante sana kwa msaada wako wa kimawazo
  3. I

    Msaada wa kimawazo

    ahsante sana mkuu kwa ushauri mungu awe nawe
  4. I

    Msaada wa kimawazo

    mimi nimechaguliwa kidato cha tano katika shule ya kimamba iliyopo kilosa uko morogoro lakini kutokana na hali ya kiuchumi sikuweza kusoma tuition na nimechaguliwa mchepuo wa PCB je naweza kupata matokeo mazuri msaada plz
  5. I

    msaada wa kimawazo

    natunguliza heshima wana jf! mimi nimechaguliwa PCB katika shule ya kimamba iliyopo moro lakini kutokana na hali za kiuchumi sikuweza kusoma tuition je? naweza kufanya vizuri katika matokeo yangu
  6. I

    Joining Instruction, Kimamba Secondary School

    nataka kufaham mazingira ya shule pia kama kuna mtu mwenye namba ya mwalimu yeyote katika shule iyo kwani hadi sasa sijapata join instruction
  7. I

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    wana jf je? join instruction tupata kwa njia ipi mana siku zimebaki chache
  8. I

    Joining Instruction, Kimamba Secondary School

    wana jf kwa yeyote anaifaham kimamba sec iliyopo morogoro, mimi nimechaguliwa katika shule iyo
  9. I

    msaada wa join instruction

    wana JF naombeni kwa mtu yeyote anayeifahamu shule ya kimamba sec iliyopo kilosa mimi nimechaguliwa kwnye hii katka tahasusi ya PCB. Kwa yeyote anaifaham anipe namba yake
  10. I

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    jamani! wakuu kwa yeyote anayeifahamu shule ya kimamba mimi nimechaguliwa pale PCB anpe namc zake! wana jf wenzng msaada plz!!!
  11. I

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    wakuu! hv kuhusu join instruction itakuwaje! mana naona siku za maandalizi ni alafu ata kama watatuma kwa njia ya posta huwa wanachelewa sana mimi nimepangiwa kimamba sec (PCB)
  12. I

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    wakuu! mimi nimechaguliwa kimamba sec (PCB) kama mtu anaifaham anpe namba zake kwani nina shda na join instruction
  13. I

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    bona wa bona au mwanaJF yeyote naomba unifahamishe kuhusu kimamba secondary na ntapataje join instruction
  14. I

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    bona wa bona nitawezaje? kupata join instruction kama autojali ungenipa namba namba yako
  15. I

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    wakuu! mimi nimechaguliwa kwa comb PCB kimamba secndary! lakini napata shaka na hii shule kwani inaonekana ilikuwa aina advance level! wana jf msaada wenu kama mtu anaitambua hii shule
Back
Top Bottom