Recent content by isoproterenol

  1. isoproterenol

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu amenishauri niingie kwenye biashara ya hisa za uchimbaji wa dhahabu

    Duu noma sana. Basi kuna vitu vingi hajaniambia. Ila hyo ppm nimeskia anaitaja. Japo yy aliniambia ni duara lake na ameshalipima kabsa kwa hyo ni uhakika na ameshea na mimi kama ndg yake
  2. isoproterenol

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu amenishauri niingie kwenye biashara ya hisa za uchimbaji wa dhahabu

    Hapana. Hajaniambia habari za manyani. Wanakuaje hao?
  3. isoproterenol

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu amenishauri niingie kwenye biashara ya hisa za uchimbaji wa dhahabu

    Wadau habari za humu? Naomba ushauri wenu kuhusu mjomba wangu mmoja amenishauri niingie kwenye biashara ya hisa za uchimbaji wa dhahabu. Anasema mfano ukiweka milioni 1, unaweza kupata hadi milioni 4 baada ya mauzo, ndani ya miezi 4. Ukiweka milioni 9, unaweza kupata milioni 50, na kadhalika...
  4. isoproterenol

    JamiiForums Tanzania Taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebambikiwa mtoto asiye wako?

    Hahahah. Kwann unasema ivo
  5. isoproterenol

    JamiiForums Tanzania Picha: Inawezekana kujenga nyumba kwa Design hii kwa milioni 16?

    Kiufupi huyo ni tapel
  6. isoproterenol

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

    Mkwasa anataka afungwe ili aende yanga akasaidiane na mzambia
  7. isoproterenol

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

    Tukajifunze kunyoa
  8. isoproterenol

    JamiiForums Tanzania DAR LUX yadhalilisha abiria wake

    Hizo ni figisu umelenga kuwachafua kisiasa
Back
Top Bottom