Recent content by ismail yusuph

  1. ismail yusuph

    Best PC games

    [emoji91]GAMERS GAMERS[emoji91] Watch dog 2 The witcher 3 Forza horizon 3 Gta V Most wanted need for speed Blur Basketball 2k17 Project cars 2 Kutana na RAM 16GB Graphics NVIDIA geforce GTX 1070 Core i7-7700 processor Window 10
  2. ismail yusuph

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Dunia ni duara. Ukiingia youtube utakutana na channel ya NASA ambayo inaonesha live from space
  3. ismail yusuph

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Mpende Mungu wako alafu uone kama utapata shida ya namna yoyote. Mpende Mungu wako uone kama utakosa amani. Mpende Mungu wako uone kama utalala njaa. Mpende Mungu wako uone kama hayo mawazo uliyowaza yatakujia. Ww unamchukia Mungu kwa sababu moja tu. Wewe ni Muovu. Acha maovu alafu uone kama...
  4. ismail yusuph

    Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana
  5. ismail yusuph

    Hodi!!

    Bro shkamoo
  6. ismail yusuph

    Hodi!!

    Shukran sana
  7. ismail yusuph

    Hodi!!

    Toka nijiunge nna wiki kadhaa cjawah fika huku naishiaga huko kwenye ukumbi wa intelijensia leo ndo nashtuka kumbe kuna utambulisho. [emoji23][emoji23] #DodomaBoy Inakuwaje jmn? Tuko pamoja.
  8. ismail yusuph

    Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

    The bold mshkaji uko nondo vibaya sana
Back
Top Bottom