Recent content by ISMAIL MKIMBIZI

  1. I

    Majibu kwa Wassira kwanini Kigoma wengi tunataka serikali tatu

    Comrade MAHORO usitie shaka huyo jamaa atapata haki yake si muda mrefu, uwugenda atambula nkuwavula mubhitutu amwonwa nuwuhagaze. Anadhani kajificha kumbe ninamuona. Umwami wi julu, nchulila ndetse sije ndamucha ndalaletse insimbi zanje zilaseseka, seseka tulabhe eee Se Bhiheko!
  2. I

    Majibu kwa Wassira kwanini Kigoma wengi tunataka serikali tatu

    Ungekuwa hauna akili ningekusamehe ila kwa kuwa uzazo sikusamehe hivyo nakupa siku kadhaa utapata adhabu yako!
  3. I

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    Unaposhindwa kujibu hoja na kukurupuka ni kwamba uwezo wako wa kiakili ni mdogo. kajoro Bujoro, matuzi, kazi yako karibu kasulu
  4. I

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    Lugha unayoitumia inasadifu wewe ni mtu wa aina gani,haiwezekani kuwepo sehemu ulizozitaja kwa kazi maalum ila inasadifu utovu wa maadili ambapo chama chochote chenye aina hiyo ya watu kama wewe hakiwezi kufanikiwa. Pole sana kijana usiyejitabua unayemtukana baba yako eti kisa hunijui hata mama...
  5. I

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    Haitwi kajoro anaitwa Rajabu Mfaume Bujoro! Kwa kutojua hata jina lake inaonekana ni vipi usivyojua msimamo wake kisiasa kwa sasa hasa baada ya kubaini CDM iko mahututi ICU na ukiwa naye karibu utaamini nikuambiayo ila kwa kuwa inaonekana unapost kutokea TENGERU ni vigumu kuamini. Asante kwa...
  6. I

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    Mwalimu toa mifano watu waelewe. Mimi binafsi ninashangaa kuona M/Kiti na Katibu CHADEMA KASULU wanamuunga mkono mgombea ajae wa CCM Kasulu Mjini Dan Nsanzugwako sijue wao hawana mgombea? Pia nakushauri acha kujilesi kama wanavyojilesi wengine jibu kistaarabu.
  7. I

    Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

    Mods tafadhari nyuzi kama hizi za kashfa na matusi ziwe zinafutwa. Umati ukiwa mdogo ni sawa, haina haja ya kuwaita watu wasaliti kwa kuwa walikuwa na utashi wao wa kidemokrasia, pia haina haja ya matusi eti wachumia tumbo tawi la Lumumba. Ushauri wangu hii ikiachwa iendelee itachochea chuki...
  8. I

    Kasulu: UKAWA yaipasua kichwa CCM

    Mh. Moses Machali ninayemfahamu vizuri kiutedaji wake wa kazi, ni mtu shujaa, mpiganaji wa ukweli, mzalendo na asiyeogopa mtu kwa status yake kivyovyote alivyo ilimradi tu anaonekana amekosea na inamlazimu Machali kufyatuka na kumchana live bila chenga. Hii haijalishi ni waziri mkuu, spika wa...
  9. I

    Kasulu: UKAWA yaipasua kichwa CCM

    Acha uongo wa kitoto ofisi imehamia mtaa wa Kagunga mwezi jana, na malipo ya pango yamefanyika ya miezi sita. Uhalisia ni kwamba ofisi za CDM zamani zilikuwa kwenye nyumba ya Mwenyekiti wa CDM Bw Rajab Bujoro na hakuna malipo aliyokuwa akikidai chama ilikua hisani tu. Sasa ameamua kupangisha...
  10. I

    Kasulu: UKAWA yaipasua kichwa CCM

    Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umekuwa tatizo kuu linalo isumbua CCM kiasi cha kuanza mikakati kudhoofisha jitihada zinazofanywa na umoja huu kivyovyote vile hata kwa kufanya makosa ya jinai, imefahamika mjini hapa. Hii imetokana na ukweli kuwa umoja huo umeonyesha taa ya kijani kwa...
  11. I

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Mbowe is a NORTHERN KING asiyetaka atataka kama vipi hamieni ACT au CCM, you what I,m saying?
  12. I

    Kasulu: Serikali ya CCM acheni upendeleo kwa wafugaji, ni kutega bomu

    Eee Bw. naona hatuelewani sijui kwa nini? Naomba nikushukuru kwa yote ila ukweli ni kwamba ikiwa kiongozi mfano Banka alifanya hivyo usemavo adhabu anastahili, lakini kwa kuwa wewe na mimi hatukuwa eneo la tukio na vyanzo vyetu vya habari ni vya intelijensia ya serikali na waathirika kwa pande...
  13. I

    Kasulu: Serikali ya CCM acheni upendeleo kwa wafugaji, ni kutega bomu

    1. Bw. Saganka nami pia nikushukuru kwa utetezi wako juu ya shutuma nilizozitoa kwa serikali ya CCM na DC Dan Makanga. Kifupi ni kwamba umejitahidi kuwa wakili wa CCM na serikali yake kukanusha kuwa Dan Kakanga hana hatia yoyote na serikali haipendelei wafugaji na kuwakataa wakulima.( Angalia...
  14. I

    Kasulu: Serikali ya CCM acheni upendeleo kwa wafugaji, ni kutega bomu

    Mapolomoko umepolomoka vibaya mfugaji aingiaye TZ bila kufuata taratibu akiwa ni raia wa Rwanda, Uganda na nchi nyingine tumwiteje?
Back
Top Bottom