Recent content by Islam Mbahu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kwa simba hii sijui??

    Huyo zamalek anafanya nini kwenye hii michuano yeye anasusua kama simba tu usitishike na historia yao
  2. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

    Hongera kwa hilo lakin swala linaloitwa ndoa ni taasisi inayojitegemea tena ni ngumu kuiishi kama haujafanya utafiti mzuri wakati wa kuliendea.Swala la kuandika humu tangazo na vigezo vyako kama unatafuta mfanyakazi wa ndani au dukani mh unanitia mashaka kama upo seriously. (HASA KWA DUNIA YA SASA)
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi za EAC zikiunga mkono Azimio la Baraza la Usalama UN kuitaja Urusi kuondoka Ukraine, Tanzania ili-dodge kikao

    Hakuna sababu ya kuegemea upande wowote hasa sisi wa Dunia ya tatu hivyo acha wagombane na wapatane wenyewe sisi hatuna nguvu za kiuchumi wala haluna msaada wowotee wataupata hao ambao tutakuwa upande wao.acha tu mute.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa tuseme "Dawa ya mboga " tulipo tumwa chumvi usiku

    Sisi tulikiwa tinaambiwa Mkubwa wa jiko
  5. I

    JamiiForums Tanzania Gharama ya studio ya kusafisha picha

    Mi nina ofisi ya picha (Photo studio) Mashine nilizonazo Noritsu na Fuji ni niashara mzuri hasa ukiwa centre mzuri .Ila zote zinatoa mwisho A4.
Back
Top Bottom