Recent content by ISLAAH

  1. I

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Ahsante alhabiib mahmood
  2. I

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Dhambi zinatofautiana alieiba na alietukana hawawezi kua sawa na alieua jamani
  3. I

    JamiiForums Tanzania Shocking Truth Kutoka Loliondo

    Huyu babu ni mganga wa kienyeji kama waganga wengine ila tu kinachombeba sana ni kuwa askofu mstaafu,hiki ndicho kinawaingiza wengi mkenge. Shemeji yangu mama yake mzazi amekufa mara tu baada ya kutoka Loli na mwingine mkazi wa manzese mkunguni kafia kwenye gari akitikea Loli kwa babu.Sasa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania John Mnyika juu ya hotuba ya Kikwete

    Mnyika usitafute umaarufu kupitia kwa JMK yale maji marefu huyawezi, utazama buree kwa kutafuta sifa. Huyu aliyesema maneno haya kama ni kumchagulia adhabu basi ni KIFO tu ndio adhabu anayostahili.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Mpoki

    Kwa hakika ushindi wa Mpoki katika mashindano haya umedhihirisha kuwa watanzania wanajali sana kampeni kuliko uhalisia wa uwezo wa mgombea katika nafasi husika.Mpoki ameshinda kwa sababu alikuwa akifanyiwa sana kampeni katika kipindi chao cha Ze Komedi,fursa amabayo Mpoto hakuwa nayo. Kiukweli...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya rais Kikwete mwisho wa mwezi Machi

    Kama watanzani tunaoulazima wa kuisikiliza hotuba yake tena kwa umakini sana ili pale ambapo panahitaji kukoselewa pakoselewe,sasa kama wakati hotuba inaendelea na watanzania wanaangalia habari za babu wa Loliondo na kwengineko na tamthilia je atakosoa? na je wenye ufahamu mdogo nani...
  7. I

    JamiiForums Tanzania How to use JamiiForums effectively

    Mambo vp wana Jamii ndio kwanza naingia kwenye mchakato huu,tafadhali nipokeeni na mnipe muongozo mzuri ktk kuiweka sawa Tanzania yetu.Tanzania ni yetu na hakuna wa kuijenga isipokuwa sisi watanzania halisi wenye uchungu na azalendo na nchi hii.
  8. I

    JamiiForums Tanzania How to use JamiiForums effectively

    Habari zenu wanachama wote wa Jamii Forums.
  9. I

    JamiiForums Tanzania How to use JamiiForums effectively

    Hi all members of Jamiiforums, I am so glad to have this opportunity of joining you on this very interesting program.May God bless us
Back
Top Bottom