Recent content by isl

  1. isl

    JamiiForums Tanzania Simba leo mmetia aibu kuomba viatu kwa wachezaji wa Sevilla

    Ni kwaajili ya kumbukumbu pia
  2. isl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Mbona sifa zako wewe hujaweka,? Wewe ni rangi ya maji ya nini? una umri wa miaka mingapi?
  3. isl

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    nmemsoma sana tu, ndiyo maana natamani picha zaidi za mafuriko ya watu! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. isl

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Tupia picha nyingine mkuu nataka kuona mafuriko ya watu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. isl

    JamiiForums Tanzania Wanaume na uchafu

    Kwani wiki ni muda mrefu? Si siku saba tu!
  6. isl

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa
  7. isl

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    betting company ipi hii wa ndugu
  8. isl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuachana na mpenzi

    [emoji5] kuachwa kusikie tu yasikukute
  9. isl

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupeane Tips za basketball za leo wadau
  10. isl

    JamiiForums Tanzania CCM watafuta diwani "msaliti" aliyewapa kura UKAWA

    Kupiga kura ni kuchagua unachokiona kinafaa kwako wewe, sasa inakuwaje mtu unatafutwa kwa kuchagua unachokiona ni bora kwako?
  11. isl

    JamiiForums Tanzania CCM kushindwa Ibighi, dalili za CCM kupotea Rungwe

    Ujinga sio wa kabila, na hakuna uthibitisho wowote unaelezea ujinga wa kabila fulani. Rejea maana tafsiri ya ujinga ni nini utagundua kua hata wewe ni mjinga. Huyu jamaa kaelezea hali aliyoiona tangu kipindi cha nyuma na mlolongo mzima wa mchango wa serikali katika miundombinu na mazingira...
  12. isl

    JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    [emoji38] [emoji38] [emoji13]
  13. isl

    JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    Kazi ipo, nilitamani kujua hizo taasisi za dini zilichambua siasa zilichambuaje ili hata mimi muumini nijue! Sasa sijaona!! Lo!
  14. isl

    JamiiForums Tanzania Galatasaray yaguswa Eboue, kumpatia ajira

    Pole yake EBOUE
  15. isl

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu HELSB na TCU

    Unatakiwa uende HESLB na barua ya kuahirisha masomo ili usitishe mkopo, hata hivo mwaka ambao utataka kurudi masomoni ni lazima utume maombi ya mkopo tena. Ndivyo ninavyofahamu
Back
Top Bottom