Recent content by isky

  1. I

    KERO Responded Adha ya ubovu wa barabara kivule

    Ndugu wana jamvi nikiwa kama mmoja wa wakazi wa kivule naomba mawazo yenu pengine ninyi mliwahi fanikiwa mlipokuwa na shida kama ya kwetu. Ili kufika kivule njia kuu ni moja kupitia banana - kitunda - kivule, ni barabara yenye urefu wa takribani km 12hv Kero kubwa tunayokabiliana sisi wakazi...
  2. I

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nawezaje kustream hii game mazee?
  3. I

    Azam TV vipi tena?

    Ulipata ufunguzi mkuu? Mimi nimelipia leo ndio nagundua hiyo issue! Channels nyingi sioni
  4. I

    GE2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

    Ndio maana mzee anapitapita kwa Mwenyekiti kumbe ana jambo lake!
  5. I

    Maamuzi ya Serikali ni Shaghala Baghala! No Coordination! Do We Need a System, or Hii ya 1-Man Show inatosha?

    Kama namuona dada Ummy alivyokwenye wakati mgumu namna ya kuireport ile 100 ya mkulu kutoka kwenye 11 yake!
  6. I

    Ushauri: Kampuni ya Twiga ijenge jengo la Makao Makuu Jiji Mwanza waliite Madini House

    Kwani Chato maeneo yameisha? Jiheshimu wewe!
  7. I

    CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Hapa ndio utawapenda wabongo. Wote wanajua agizo limetoka wapi lakini wanazuga zuga weee
  8. I

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu gari yangu toyota ist inatatizo la kukosa nguvu, inakosa speed kabisa na unaweza kanyaga accelerator mpaka mwisho isifike 120km/hr. Tatizo linaweza kuwa nini?
  9. I

    CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Kwa mazingira ya sasa hakuna tija kugombea unaweza ishia gerezani. Ili tuishi kwa amanai wacha ccm ishinde nafasi zote bila kupingwa na tunaimani baada ya miaka miwili kwa uongozi uliotukuka nchi itapaa kimaendeleo na kuanza kutoa misaada kwa nchi za ulaya
  10. I

    GE2020 Hakuna Mbunge CHADEMA anayeweza kushauri kugomea uchaguzi mkuu 2020

    Wanaweza kugomea kama mazingira yatakiwa hivi sababu watatumie pesa yao nyingi kwa kampeni alafu mshindi anatangazwa kabla ya kuta kuhesabiwa. So kuliko kuchoma kionua mgongo chao itakuwa vema kwao kutogombea na ikibidi chama wafute
Back
Top Bottom