Recent content by Iskariote

  1. I

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mtoa mada yupo sahihi,itafika mahali mama atakosa Cha kuongea,hotuba zitakuwa za marudio kila siku km za mwendazake
  2. I

    JamiiForums Tanzania Namwombea Msamaha Job Ndugai

    Unaona Sasa ulivo ng'ombe? Mama alikuwa mkuu wa Mhimili? Au hata hujui maana ya Mhimili.Ndugai alikuwa na nguvu Kama Angekuwa na akili sema akili zake ni Kama zako tu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Namwombea Msamaha Job Ndugai

    Shirikisha ubongo wako ndugu,mama alikuwa msaidizi wa mwendazake ilihali dungai alikuwa mkuu wa Mhimili Kama alivokuwa magu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Namwombea Msamaha Job Ndugai

    Tueleze mambo walau mawili mazuri aliyowahi kuyatenda dungai toka awe speaker
  5. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mtujibu kwa Nini mnapandisha bei kiholela? Mnaudhi sana
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hiki kijiko kina kazi gani?

    Kama si vidole vyako basi Hiyo itakuwa beleshi mkuu
  7. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naona hii ni kwa nchi nzima Hawa jamaa wapuuzi sn
  8. I

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma: DPP ni chujio la kwanza la haki

    Sukuma gang watabisha
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

    Sabaya naona umekuja kivingine, lazima uwajibike kwa ujambazi wako
  10. I

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

    Huyu ssh anaweza kuwa rais DHAIFU kuliko wote
  11. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, TANESCO wanaanza kata kata ya umeme

    Ni kweli japo nilimpinga jiwe kwa mambo mengi Sana ,Ila suala la umeme alilidhibiti.Sahivi panya wa tanesco wanatawala.Hata kuja kukufungia umeme wanadai Hamna mita,Jambo ambalo halikuwepo enzi za mwendazake
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Mbunge Florent Kyombo (CCM), adai Kagera inapakana na Sudan Kusini

    Another kituko
  13. I

    JamiiForums Tanzania Tatizo letu Watanzania tupo Low Key kwenye ishu za Maana; High key kwenye upuuzi. Mama Samia pandisha Key

    Umeandika mambo mengi Ila ya maana hayafiki robo.Think beyond kuna watu Wana points humu tusiwabeze
Back
Top Bottom