Wakuu nawasalim.
CHADEMA,nawaomba mtambue kwamba wananchi wamechoka na siasa za majukwaani,masikio hayapo tayari tena kusikia juu ya Operesheni Sangara wala M4C zisizo na matokeo ya moja kwa moja kwa Mtanzania.
Kama chama,badala ya kutumia millions of money majukaani,hebu tujaribu kufanya...