Customer care ya tigo

Customer care ya tigo

ishobo

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
16
Reaction score
10
Sijui ni kuridhika,sijui ni uzembe tu? Hivi kuna customer care manager na analipwa mshahara kabisa..hii siyo fair.
Namba 0713 800800 na 100 zote hazina connection. Kama mmebadilisha namba si mseme au mko bize na ten percent za matangazo.
Hebu acheni ubabaishaji. Kilichomkuta ttcl si mnakijua? Haya endeleeni na dharau kwa wateja wenu.
 
Tigo ndio ctak hata kuwaskia kwa sasa npo voda for ze rest of my lyf-kuna siku nlfnya biashara na mtu nkamuzia godoro akan2mia kwa tigo pesa then mim nipo voda ila bahat mbaya nkasahau kuchukua namba ya yule mteja ili niweze kuitoa ile pesa
nkamua kwnda tigo mliman city nlivypgwa dana dana yal wakataa kabisa kunsadia so 230,000 zote zikamrudia yule mteja
sasa huduma yao kwa tigo pesa jee ogopaa sana wiz wiz tu commision ndogo pia hawaitoi kwa muda sahih upuuz mtup
MPAKA LEO NAWAALANI KAMPUN YA TIGO NA MUDA SIO MREF WATAFLISKA
 
Unajua ni kwanini tigo inaitwa makalio.
TIGO INAFANANISHWA NA MAKALIO KWA SABABU INA TABIA KAMA MAKALIO ( tundu lenyewe )
 
Back
Top Bottom