Recent content by Ishobezay

  1. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Bila Magufuli kuwa Rais wa Tanzania haya yasingewezekana kutokea ndani ya kizazi chetu

    daraja la JPM lina umuhimu sawa na tanzanite na Nyerere kigamboni, hizo hela zilizotumika kujenga Nyerere na tanzanite pia zingeweza kujenga miundo mingine
  2. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Ikifika 2025, Utajisikiaje ukijua kumbe Lissu naye ni Askari (planted)

    Inawezekana
  3. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatima ya Mwalimu Leah Ulaya, aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi wa CWT

    walimu wameanzisha chama kingine chenye makato nafuu ahamie huko
  4. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

    nenda Kahama pako vizuri kibiashara na kwa wapangaji
  5. Ishobezay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

    wasukuma wa Shinyanga
  6. Ishobezay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    mleta mada fuata huu ushauri mi yalishanipata kwa hali kama hii,muombe msamaha mkeo arudi mlee watoto
  7. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Kuna namna nyingine ya kupunguza komwe?

    fuga rasta
  8. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

    mbeya na mwanza panatakiwa vijengwe viwanja vya kisasa
  9. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto wa miaka minne anachemka sana kwa siku tatu mfululizo. Hospitali alipimwa malaria, hana

    yaweza kuwa malaria waambie watumie BS badala ya MRDT
  10. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika

    nenda kwa DAS atakusaidia
  11. Ishobezay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

    Kata gogo kitandani atasepa
  12. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Bayport ni hawafai

    waone utumishi ikishindikana muone mkurugenzi
  13. Ishobezay

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napatwa na maumivu makali kifuani kama nachomwa kisu

    Hii hali huwa inanitokea ninapokunywa kvant nikichanganya na soda ya coca
Back
Top Bottom