Recent content by Ishemo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurecover Gmail yangu

    Habari za Asubuhi ndugu zangu, Najaribu kulog in kwenye Gmail yangu ya zamani lakini sikubuki password na namba ya simu niliyo tumia zamani haipo Tena kwa hiyo nikiomba rest PIN NUMBER inashindikana Nifanyeje? Naomba msaada.
  2. I

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI TONNER 616 C na 622Y

    Bado sijafanikiwa ndugu zangu nimekwama nisaidieni
  3. I

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI TONNER 616 C na 622Y

    Naomba nisaidie Inbox namba nimcheki ndugu yangu
  4. I

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI TONNER 616 C na 622Y

    Habari Wana Jamie forum Nahitaji msaada kwa mwenye Tonner za rangi nne 1.616c Tonner ndogo 2.622Y tonner kubwa Naomba bei pia nitumie picha kuhakikisha kama ni wenyewe Nahitaji Box 100 plus Naweza kufuata au ukanitumia itategemeana na makubaliano yetu Nauhitaji haraka iwezekanavyo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuacha pombe miezi 6 sasa

    Nimetafuta namna ya kuacha hii kitu nimeshindwa...nisaidie mawazo pls
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania ni waoga au vyombo vya ulinzi vina ueledi na nguvu?

    [emoji2957][emoji2957] inabidi uchanjwe wewe sio mzima[emoji3][emoji3][emoji3]
  7. I

    JamiiForums Tanzania Uhandisi ndiyo fani pekee duniani inayotoa majibu halisi kwa walaji tofauti na udaktari ambao umeshindwa kuichambua chanjo ya COVID-19 ieleweke

    Wazee wa Thomborocytes epidema, wanameza misamiati migumu hao jamaa[emoji2957][emoji2957]
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ni zipi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Best Student Chuo Kikuu?

    Inaangaliwa pia consistency...Kama alikuwa anapanda na kushuka kwenye ...na kuna mwamba yeye alikuwa anamaintain and above hata wakilongana huyo mdogo wako hawezi kuwa best ...na vigezo vingine kama marks scores and so on
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mjue mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji

    Issue sio kujua vifungu vya sheria, bali ni kujua mazingira ya kosa na kufanya maamuzi sahihi...sheria ukitaka utatunga kila siku...Mfano family law...isomeni kwa makini mtajua kama haituhusu au inatuhusu na tulicopy wapi na kupest wapi...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

    Uongo...ifunda Tanangozi, Tosamaganga hali ni moja Bro...Labda ukivuka makambako ukanda unabadilika ..Mimi ifunda nimesoma pale nilikoma Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Kishatumbuliwa Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  12. I

    JamiiForums Tanzania Haipendezi kwa Mwanaume kupanda usafiri wa Boda Boda

    Haaaaa. Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  13. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Ningepanga Alphabetically.. A_Z
Back
Top Bottom