thread yako haitafsiriki mkuu, yeye ndo alikwambia ni bkra au kwa kuwa ilkuwa ni mara yako ya kwanza kukutana nae? au sauti yake wakati wa tendo ilkufanya useme bkra?
kama speed yako ni ya kawaida, na unamuandaa vizuri,basi akachek inaezekana akawa na fungus ambao wamesha eka mchubuko tayar ambao unapelekea maumivu anapopata ukavu kidogo tu,, chekup ni muhimu zaidi
pale mafinga diwani wa ccm kata ya boma alkuwa anajaribu kuzuia wana cdm kujenga eneo la kuweka bendera ya cdm, aliambulia kichapo kisicho cha kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.