Mwanamke bikra

Mwanamke bikra

Tatizo la wabongo hatuendelei kwa sababu mtu anaomba ushauri, we kwa sababu ni mzoefu badala umsaidie unaanza kumponda. Matokeo yake uzi mzima hakuna jibu ni masimango tu!

(Mleta uzi hata mimi sijui labda ukiendelea kuwa mvumilivu anaweza kuja mtu na busara zake akakujibu....Usilale we subiri tu)
 
Hivi hayo maswali yako,mleta mada,ukiombwa ulete picha utalalamika?Natabasamu kwa sauti aseee...
 
habari za muda huu ndugu zangu kuna jambo moja limenishangaza nikaona sio vibaya tukishirikiana kulitatua kama ntamkwaza mtu naomba aniwie radhi nipo na girlfriend wangu kwa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa week iliopita tukaamua kufanya wakati wa tendo njia ilikuwa ndogo alikuwa akiugulia kwa maumivu makali jambo lililo nipa maswali sikuona hata tone la damu....je kweli ilikuwepo au nilidanganywa?

thread yako haitafsiriki mkuu, yeye ndo alikwambia ni bkra au kwa kuwa ilkuwa ni mara yako ya kwanza kukutana nae? au sauti yake wakati wa tendo ilkufanya useme bkra?
 
Tafuta dkt akufunze vzr kuhusu jambo hilo coz nikizungumza mie mtaona natetea ila si zote zatoa damu na pia umri nao pia.... kuna sild nene na nyembamba sasa nyembamba ndio zavuja na nene hazivuji na kama umtumiaji mzoefu na mwenye umakini waweza elewa fika kiatu hiki kilivaliwa,hiki kilijaribishwa,hiki cha mtumba, hiki kiko mtumbani lkn kipya.
 
habari za muda huu ndugu zangu kuna jambo moja limenishangaza nikaona sio vibaya tukishirikiana kulitatua kama ntamkwaza mtu naomba aniwie radhi nipo na girlfriend wangu kwa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa week iliopita tukaamua kufanya wakati wa tendo njia ilikuwa ndogo alikuwa akiugulia kwa maumivu makali jambo lililo nipa maswali sikuona hata tone la damu....je kweli ilikuwepo au nilidanganywa?

kumbe mlishafanya siku za mwanzoni mkapumzika muda mrefu... itakua mlifanyia gizani ndomana hukuona damu au damu imevilia kwa ndani
 
.....Subiri wanawake waliotolewa bikra zao tokea wakiwa na miaka mitatu waje kukushambulia kwa maneno ya shombo. Vaa helmet kabisa kuzuia maneno yasikuumize kichwani.

Ila kama ulikula mzigo muda wa usiku inawezekana damu zilivyotoka Mbu walizinyonya zoote ndo maana ulipomaliza hujaziona, nakushauri siku nyingine ukimpata mwenye bikra mgonge mchana, sawa eeh!!
 
habari za muda huu ndugu zangu kuna jambo moja limenishangaza nikaona sio vibaya tukishirikiana kulitatua kama ntamkwaza mtu naomba aniwie radhi nipo na girlfriend wangu kwa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa week iliopita tukaamua kufanya wakati wa tendo njia ilikuwa ndogo alikuwa akiugulia kwa maumivu makali jambo lililo nipa maswali sikuona hata tone la damu....je kweli ilikuwepo au nilidanganywa?

umeambiwa mengi na jibu nahisi ndio unakaribia kupata. 1 unaumri gani 2. Huyo mwanamke kwako ndio wa kwanza ww kulala nae. Naomba jibu alafu tuendelee na mengine tutapata jibu
 
Hata uendedhaji baiskel kwa mtoto wa kike si mzuri kabisa huondoa hiyo kitu, japo imetoka maumivu yatakuwepo tu kwa mara ya kwanza
 
habari za muda huu ndugu zangu kuna jambo moja limenishangaza nikaona sio vibaya tukishirikiana kulitatua kama ntamkwaza mtu naomba aniwie radhi nipo na girlfriend wangu kwa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa week iliopita tukaamua kufanya wakati wa tendo njia ilikuwa ndogo alikuwa akiugulia kwa maumivu makali jambo lililo nipa maswali sikuona hata tone la damu....je kweli ilikuwepo au nilidanganywa?
kakuwekea rimao huyo kakuweza kweli
 
Back
Top Bottom