Recent content by Isalu

  1. I

    PreGE2025 Wasira: CCM inakuja na ilani yake ya uchaguzi mkuu , ambayo itakuwa na majawabu ya changamoto mbalimbali za vijana

    Imeshindikana kutoa majawabu kwa miaka yote ccm imetawala,ndio wake watoe leo. No reforms no election
  2. I

    DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na 7 kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Ila ni muhimu wanafunzi hao kupata muda wa kupumzisha akili zao wkt wa likizo zao. Ila zipo shule binafsi zimejiwekea utaratibu kwa kuwapa rtb za mfululizo za watoto hawa,za...
  3. I

  4. I

    DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  5. I

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Na walikuwa wananunuliwa kila kitu na serikali hadi nguo za ndani
  6. I

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Aaaaarghhhhh! Nina hasira sana!
  7. I

    Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

    Acha kuwatetea chief. Kiuhalisia hali ni mbaya sana mitaani,gharama za maisha zipo juu sana. Uchumi wetu ungekuwa juu Hali isingekuwa hivi ilivyo chief
  8. I

    Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Hawa watu tunatakiwa kuwawajibisha!! Tuwaunge Chadema mkono tundamane nchi nzima kupinga huu ujinga. Wanatuona watoto sana hawa ccm. Tundamane hadi kieleweke watupatie umeme wa uhakika,gharama za maisha zishuke chini.
  9. I

    Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

    Hal Halafu mjinga mmoja anasema uchumi umekuwa kwa kuangalia namba E kwenye magari barabarani,mara tukaishi Burundi. Ee Mungu ikupendeze kwa mtu huyu umuite kwako kwa ajili ya hukumu ya haki! Utuondolee Ee BWANA twakusihi kwa maana amejaa kiburi na dharau kwa watu wako. Amen.
  10. I

    Kwa hali hii kuna haja ya kukaribia ballot box kweli 2025?

    Ushauri wa hovyo huu! Tukapige kura na tulinde kura zetu.
  11. I

    Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Mambo mengi sana aisee! Tunapigwa chenga za kila aina.
Back
Top Bottom