Na kweli ni ushamba kwani perfume nyingine ukipulizia leo, utapulizia tena miezi miwili ijayo; haihitaji kupulizia kila siku. Sasa mn amejuaje Nondo alipulizia perfyume siku ya kutekwa?
Mkuu unaonesha upeo wako mdogo wa kuchanganua mambo unaposema kuwa cdm wanaumwa ugonjwa was kuropoka na matusi.inapaswa ujue kuwa vyama vya upinzani vimekuwepo Si hiari ya chama tawala(CCM) na ili kuenda nao sambamba wapinzani wanatakiwa wawe nà lugha kali na ujasiri wa kutenda bila kuogopa...
Inahusiana sana! Jamaa anataka kuonesha upofu wako kwa ufisadi unaoedelea ujenzi wa standard gauge na kuona "ufisadi was CDM kwenye halmashauri ya Ar" Takukuru wamenyamaza kimya kuhusu madai ya srikali kutumia kodi za walalahoi kununua viongozi wa upinzani!
"The reign of terror" Ukiona kiongozi anapita kwenye masigogi na kutaka aombewe ujue huyo kuna uovu anafichaficha. MTU mwadilifu atasubiri aombewe na Si kupress kuombewa. Neema ya Mungu haivutwi kiujanjaujanja Siku zote uadilifu utashinda ubaya. Mungu yupo!
Nimependa ulivyomjibu huyu myopic (mleta mada) kwamba matàmshi ya viongozi wetu wawili ni pigo kwa upinzani! Kwanza nimjulishe mleta mada nini kuwa kusema no kitu kimoja na kutekeleza ulichokisema ni kitu kingine. Lakin jambo lingine kuwa upinzani ulikuwa unasifia uimara wa katiba ya Kenya...
Wazo zuri sana! Kwa vile RAIA yeyote was tz akitimiza vigezo ana haki ya kumiliki silaha basi nawashauri viongozi was upinzani wamiliki silaha kwa ajili ya kujilinda wenyewe. Kwa trend hii ya matukio ya mauwaji ya viongozi wa upinzani na wauwaji kuingia mitini. Na kama tumefikia huku Jamii ya Tz...
Hii move upinzani waipokee kwa mtazamo chanya,, wajipange kufanya kampeni za nguvu kuwaeleza wananchi madhambi yanayofanywa na serjkali hii ya awamu ya tano. Nasema ni fursa kwani sirikali ilipiga marufuku mikutano ya kisiasa na sasa hakutakuwa na kisingizio chochote; uwanja uko wazi kifanyà...
Gharama za mazishi ni ujanjaujanja wa sirikali kuwahadaa wananchi wazame kwenye kujadili gharama na kusahua mambo ya msingi kama RAIA kuuawa kizembezembe na kuminywa kwa demokrasia kwa kiwango cha juu! Tunapaswa kuangalia chimbuko LA watu kuuawà, kupigwa risasi, kutekwà na kuwekwa mahabusu kwa...
Sasa unakataa nini wakati
umeandika aliyeua na alieandamana? Unaweza kututhibitishia alieuawa alikuwa anaandamana? Na katiba imasema anayeandamana auwawe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.