Wewe ndiwe mbaya wa Komba, na ndiwe uliyeshiriki kutengeneza picha chafu kumchafua. Hivi Komba ni mbunge wa kuteuliwa au anachaguliwa? kama nimuovu kiasi hicho kwa nini achaguliwe kila mara? Tafuta sababu nyingine nzuri na watu watakuelewa, hii nayo bado haitoshi. Pole komredi!
KUHUSU PICHA NA KOMBA
Kwa analysis ya haraka, hizo ni picha za kutengenezwa kwa lengo hilo alilolikusudia mtenenezaji. Hata kama Mheshimiwa Komba anao washikaji wake, bado hii aibu aliyotengenezewa inamapungufu mengi kiasi cha kukosa sifa ya kuthibitishia umma kuwa ni kweli. Hizo ni picha...
Acheni Uongo Wenu Nyie
Habari zozote zinazohusu usalama ambazo zimeandikwa humu zote ni majungu tu. Hakuna habari zozote zenye ukweli zinaweza kuwekwa wazi humu. Kwanza kwa faida ya nani? ili nini kitokee? na kwa nini? Sikatai kwamba nchi na nchi hupishana au kutofautiana hilo siyo jambo la...
Maneno yako yanaonyesha umetumwa na miungu watu wanaodhani waliiumba TZ. "Eti kwa mipasho hii mtasubiri sana" nani alikwambia walio nje ya TZ wanashida sana ya kupata msaada wako wewe binafsi? kwani wewe ninani kati ya mamilioni wa TZ hata ueseme "eti kwa mipasho hiyo mtasubiri sana" Kusubiri...
Jitahidi Kuandika Kuhusu Hoja Unazozijua Vema
Filosophia inasema "ukisikia vibaya utaelewa vibaya, na ukielewa vibaya utatenda vibaya" Ninani alikwambia wewe unauwezo wa kuwafanya watanzania waliopo nje ya nchi wategemee uwezo wako wa kuwafanya wawe na uraia pacha? Kama ni watanzania ni...
Ingawa hujatoa sababu za msingi kwa nini umetoa sababu ulizozitoa kuupinga uraia wa nchi mbili, mimi nafikiri tukuachie hiyo nia yako mwenyewe. Pili, Tanzania haitakuwa nchi ya kwanza kuwa na uraia wa nchi mbili kwa sababu kuna nchi nyingi za kiafrika zilizo tutangulia, Kwa mfano; Nigeria...
POLE DADA YANGU
Walionitangulia wote kwa pamoja wametoa ushauri mzuri sana, nami naungana nao. Achana na huyo bwana haraka.
Kuhusu vitisho ningeshauri utoe taarifa haraka Polisi na umfahamishe kuwa umesha report polisi kuhusu vitisho anavyokutolea. Hiyo itakufanya wewe uwe upande wa usalama...
KWA NINI HAYO MAJINA NASI MENGINE?
Mimi naona mtoa mada hii hujawatendea haki hawa waheshimiwa. Nadhani lengo lako ni zaidi ya kupata maoni ya wasomaji. Umeshatoa hukumu bila wao kujitetea, na hiyo si haki. Lazima sote kwa pamoja tujifunze kutenda haki.
MSIUE SIASA: Kwani huyo Kabwe si ni kiongozi wenu jamani? kuna shida gani akihamasisha chama chenu? kwani chadema yenyewe iliwaumba hao wanachama wake? si walikuwepo tu, tena wengine hawakuwa na chama chochote na wengine walikuwa CCM kama huyo kiongozi si alikuwa mbunge wa CCM? kama hao watu...
SIASA NA DINI:
Mimi ni muumini pia na ninaamini Biblia kama wengine wafanyavyo, mbali ya hayo ni mwalimu mstaafu wa chuo cha theologia. Nina Masters ya theologia na nina Doctorate katika mambo ya serikali in general. Lakini siamini kuwa Mungu ana vyama vya siasa ila naamini kuwa ana watu ambao...
TANZANIA NA TATIZO LA EAC: Kwanza nianze na shukrani kwa hotuba nzuri ya Mheshimiwa Rais Kikwete iliyoweka msimamo wa Tanzania juu ya EAC. Ili ufahamu kwamba kulikua na kuna jambo ambalo limefichika ambalo ndiyo sababu za kuitenga TZ, basi ni huo msituko wao baada ya TZ kutoa msimamo ambao...
HOTUBA YA RAIS BUNGENI:
Kwa maoni yangu Rais alikuwa anaongea na Taifa lake analoliongoza. Alikuwa akijibu maswali ambayo watanzania wengi wamekua wakijiuliza kuna nini EAC? kwa maoni yangu sioni kama kuna uamuzi wowote umetolewa hapo, ila naona amesisitiza kuwa bado tupo hatujawahi kutoka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.