Recent content by isack peter

  1. isack peter

    Naomba msaada wa namna ya kutengeneza "Facebook & Instagram ads"

    [emoji33][emoji33][emoji33] Duu sio kwa migharama hiyoooo
  2. isack peter

    Naomba msaada wa namna ya kutengeneza "Facebook & Instagram ads"

    Habari wanaJF, Naombeni kama kuna anayefahamu jinsi ya kutengeneza "Facebook & Instagram ads" kwa kutumia smartphone, na endapo zikafanya kazi kwa ufasaha nitaomba anitafute kwa kunipa elimu juu ya hili. Nitamlipa kidogo maana elimu ina gharama. Namba: 0683484606
  3. isack peter

    Kifua changu cha kushoto ni kikubwa kuliko kulia

    Jamani naombeni msaada nashangaa kwamba kifua changu kushoto ni kiKubwa cha kushangaza cjawai kunyanyua chuma pia upande huohuo nasikia maumivu kwa ndani hadi mgongoni mimi na miaka 18
  4. isack peter

    Maumivu ya kifua

    Ahsanteni
  5. isack peter

    Maumivu ya kifua

    Mimi ni kijana miaka 18 .ninasumbuliwa na tatizo la maumivu ya kifua upandewa kushoto ,pamoja na mgongoni upande wa juu kushoto. Maumivu hayo huwa kama vile mtu anafinyavl au some time kama kitu kikali kinachoma kwa ndani kinacho nishangaza kwamba maumivu haya huja na kupotea kunakipindi...
  6. isack peter

    Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

    Yani aliona aiwezekani ukimwi waumwe wawilitu ndio maana akaona akuongezee wewe
  7. isack peter

    Je kuna magonjwa ya moyo yanayoweza kutibika ??

    Naombeni kuuliza kwamba je kunamagonjwa ya moyo yanayoweza kutibika kwa urahisi ?
  8. isack peter

    pinyeto

    dk mimi ni mpigaji wa punyeto nina miaka miwili na nusu, ninachotaka kujua mm ni kwamba je ninaweza kuwa nimepata madhara yoyote makubwa kamaniki amua kuacha kwa muda hiu
Back
Top Bottom