isack peter
Member
- Jan 4, 2015
- 9
- 1
Mimi ni kijana miaka 18 .ninasumbuliwa na tatizo la maumivu ya kifua upandewa kushoto ,pamoja na mgongoni upande wa juu kushoto.
Maumivu hayo huwa kama vile mtu anafinyavl au some time kama kitu kikali kinachoma kwa ndani kinacho nishangaza kwamba maumivu haya huja na kupotea kunakipindi yalikua kama kifua kinabana pia nikiinana nahisi kitu kinavuta kifuani ila kwa saa hivi afandali maana tatizo hili linanisumbua huu mwaka wa 3 na cjapima kitu chochote nilienda kwa dokta akaniambia kwa umri wangu si rahisi kuumwa ugonjwa wa moyo ..
Naombeni mnisaidie je hii inaweza kuwa in heart attack au AU ANIXITY.pia huwa nakuaga na rapid heart beat.