Je kuna magonjwa ya moyo yanayoweza kutibika ??

Naombeni kuuliza kwamba je kunamagonjwa ya moyo yanayoweza kutibika kwa urahisi ?
Nenda hospital... Kuna maradhi mengi yanayohusiana na moyo.tatizo la moyo huwezi kulitibu haraka haraka bila uchunguzi wa kina.
 
Angina zipo karibu aina tatu...stable angina..unstable angina..prinzmetal angina...cha msingi rejea hospital.. Dawa yes zipo ila Daktari kukuona ni muhimu..dawa ni mf.isosobide..triglyceride nitrate... Usitumie dawa za kuongeza performance ya sex mf. Vega unapokuwa kwenye matibabu haya
 
Triglyceride nitrate ndio dawa gani?
 
Yap....nitrogrecerine nitrate or nitrates salt in general... Thanks for corrections
 
Back
Top Bottom