Kifua changu cha kushoto ni kikubwa kuliko kulia

isack peter

Member
Jan 4, 2015
9
1
Jamani naombeni msaada nashangaa kwamba kifua changu kushoto ni kiKubwa cha kushangaza cjawai kunyanyua chuma pia upande huohuo nasikia maumivu kwa ndani hadi mgongoni mimi na miaka 18
 
Moyo wako mkubwa sana ndio unaufanya upande huo utanuke

Ukichelewa utapasuka wahi kitengo cha moyo muhimbili
 
Toa kifua kimoja uwe mwanadam wa kawaida km sisi wenzio maana wote tuna kifua kimoja kimoja
 
ww itakuwa ni barehe maana ukibarehe kifua kinatanuka kitu hicho kinaitwa gynecomastia au pysdo gynecomastia yani maziwa yote au ziwa LA upande mmoja
Ili linajitokeza kipindi cha barehe na litaondoka lenyewe ila ni vema utume picha
 
Back
Top Bottom