Recent content by Isack elisha

  1. I

    Nafasi za kusomea elimu ya afya hewani tayari!!! Ingia

    Naomba atakayeskia tetec katika vyuo vifuatavyo kua kuna form za diploma in nursing aniambie , cuhas , muhas ,udom ,kcmc na vyuo vingine vya afya ,,.for the year of 2014!
  2. I

    Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

    Mi nimemsev expected one
  3. I

    Mademu na vibomu vya njaa kali zao!!komesho

    Tehh ,tehh duh wachane mkali dah! Like it!
  4. I

    Ratiba ya uzee

    Cpati picha ntazeheka vipi!
  5. I

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Kantyentye-huyo ni ndege, jamba mchezaji wa kameroni , konkontiko- mdudu
  6. I

    Petro kalete jiwe!!

    Cpati picha ankle yohona alikuaje ,nadhani hata pindi halikuingia mkichwa duh! Jesus !
  7. I

    Wizara ya afya naipenda ila hapa.

    Cjui lini Tanzania itabadilika kwa maana iko out ov time,the really government iko USA kwa maana they don play with time or calendar. Let's pray 4 our country .
  8. I

    Wizara ya afya naipenda ila hapa.

    Kweli kaka but mi mwenyewe wameniambia tar 15- October dah! A don know kama itakua reall, let's pray.
  9. I

    Siku 3 wizara ya afya

    Jamani kitu kipo kwa hewa tayari,hivi wizara ya afya ni kweli wametoa majina au au wanazingua? Hebu tuingie moh sasa hivi!
  10. I

    Huyu mwanafunzi anastahili asome darasa gani?

    Haina haja ya kuwakimbiza wazungu wallah kwenda chuo huyo jamaa aende ajirani tu akale mshahala mzito sana.
  11. I

    Afya Afya! Mpango mzima tar 11 msihofu juu ya hili.

    Jamani hivi Leo ni jumatatu ou jumangapi? @ mission complete on this Friday @
  12. I

    Afya Afya! Mpango mzima tar 11 msihofu juu ya hili.

    Take this ¥ ile range 3-11 ikipita atupe range nyingine tena 11-20 ¥ duh! Uwe na uhakika uciotee mheshimiwa thanks 4 your thinking capacity .
  13. I

    Afya Afya! Mpango mzima tar 11 msihofu juu ya hili.

    Ok kauli cio goody but ngoja tusubili @ MISSION COMPLETE ON THIS FRIDAY @ ila moh ndo muamuzi wa ukweli .
  14. I

    Afya Afya! Mpango mzima tar 11 msihofu juu ya hili.

    Sasa....wa afya ndo nini ? We sema unaprofeshen gani mkali ili tukutrust jembe au cio!
Back
Top Bottom