Recent content by Isabhiara Wenyu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Katika kila mfumo wa utawala wa nchi kuna kauli hazivumiliki

    Kwa nn watu mnahamasisha kuuwawa kwa Lisu jenga hoja dhidi ya hoja yake na pia haujamuelewa Lisu matumizi ya dola enzi ya Ukoloni kwenye miundombinu na sasa itofautiane kwa sasa maendeleo ya watu yaambatane na miundombinu sio kufukarisha watu kisingizio kiwe ni ujenzi wa miundombinu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza: Umma unapoamua hakuna itikadi ya chama cha siasa inayoweza kuwazuia

    Nyanda we ni shoga mbona unasema wanaandamana kudai haki za kijamii kama ushoga hivyo unataka watu waandamane kudai ushoga uhalalishwe Tanzania na we utakuwa kiongozi wao?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Siasa halisi na thabiti za upinzani kuanzia mwaka 2021

    Ngosha elewa alichoandika mleta mada
  4. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusakamwa sana, Dkt. Kigwangalla azindua video ya vivutio vya utalii aliyoibuni, asema sasa watalii wataanza kumiminika Tanzania

    johnthebaptist, Ngosha unathibitishia watu kwamba sasa watalii watamiminika kwa sababu ya hiyo move ya Kigwangala?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ujenzi wa Ikulu unaoendelea Chamwino

    Ngosha lazima usifie
  6. I

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mbowe aliona shetani, majeneza na vifo lakini Rais Magufuli alimuona Mungu na kuishinda Corona

    Sasa we Ngosha jamaa anatetea ulaji ulitegemea aseme nn zaidi ya kusifu na kuabudu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, mazuri na mabaya ni yetu, Serikali ya awamu ya tano ni yetu!

    Huyu jamaa ni matako kweli kuna siku wananchi waliwahi taka vita ama umasikini? Utahila wako unataka watu wajibu unachowaza wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    JamiiForums Tanzania Prof mmoja aliwahi kuniambia, "Ogopa zaidi hapa dunia Watu wajinga, maana wakiwa wengi wanaweza kumchagua Rais"

    Hawawezi elewa lakini ndo kipimo chao Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020, Rais Magufuli atayarudisha 80% ya majimbo ya upinzani CCM. Mgombea urais wa upinzani kuambulia aibu ya kihistoria

    Siku ya tarehe 10-04-2018 yalifanyika maandamano ya kushinikiza mageuzi ya mfumo na uongozi nchini Ethiopia baada ya miezi michache tangu uchaguzi ufanyike ambapo mtawala yule alishinda kwa asilimia zaidi ya 80% sasa sijui yeye hakuwa amekaa kwenye mioyo ya watu kama jiwe Sent using Jamii...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano na mfano wa Mtihani wa NECTA

    Brother thanks u made my day inajitungia maswali na bado inayakosa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hama hama imesimama, or is it? Imebaki hatari endelevu

    Leo pia ametamani Ubunge wa Nasar huko Arumeru
Back
Top Bottom