Tunachagua Rais wa JMT na SMZ kwa hiyo wasituchoshe na kiherehere cha mambo ya nchi yetu wakae mbali na sisi maana wamezidi sana.
OCTOBER 2025 TUNASIMAMA NA MAMA DR. SAMIA SULUHU HASSAN TUNATIKI ZOTE✅✅✅🇹🇿
Kama ni Johari ninayemfahamu niliwahi kukutana naye kata ya Usinge na rafiki yake Mwalimu Mponda walikuwa kama mapacha ingawa Johari siku zote ni mpole na mcheshi kama ni yeye sidhani kama amehusika na kwa kuwa chanzo cha vurugu labda kama ni mwingine.
Am
Alikuwa na nyota njema sana na angeweza hata kuwa waziri kamili ila hajui siasa na alikuwa anazungukwa na wanafiki wa masilahi ya fedha zake tu na wakampoteza na mzee kashtuliwa mapema
Mara nyingi ni aina ya shukrani kwa baadhi ya makabila ya maeneo ya watu wa nyanda za juu kusini namaanisha kwa sisi Wanyiha mama anaweza kushukuru kwa kupiga magoti na hata kugaragara chini. sijajua kwa makabila mengine au kama kuna mwenye ufafanuzi zaidi ya huo tuelimishane
Ndugu yangu umeongea fact za wazi kabisa na point yako inaeleweka kwa wanaosoma vizuri biblia bila unazi wa kidini ila naona kasoro yako hapo unatumia lugha ghali Kali zinazowanyima wazembe kudadavua ila utawapata wanaotaka kujibizana na wewe
Kwa upande wangu sidhani kama ninaweza kuelezea kwa ufasaha kwa miujiza na maajabu ambayo Mungu amewahi kuniokoa na kuniepusha.
Mungu yupo jamani hata katikati ya Giza Nene.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.