Organisation: Catholic Diocese of TUNDURU – Masasi
LOCATION- Tunduru Town
RESPOSIBILITIES
1. To perform standard medical secretarial duties in the diocese of Tunduru Masasi.
2. A link between the diocese of Tunduru Masasi and Tanzania episcopal Conference in health matters
3...
Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami toka Songea- Tunduru - Mangaka hadi border na Mozambique umekamilika. Pamoja na kukamilika kwa barabara hiyo lakini viwango vya nauli bado viko juu sawa na wakati ule wa barabara ya vumbi. Sumatra mko wapi. Mbona sehemu nyingine mliwahi kupanga viwango vya...
Wilaya ya Tunduru iko km 780 kutoka Dar es Salaam kupitia Lindi. Umbali kutoka Songea km 264. Kwa upande wa kusini wilaya hii inapakana na nchi Mozambique.
Tunduru ni wilaya ambayo kwa mtazamo wangu imewekwa kimakosa katika mkoa wa Ruvuma kwa sababu Jiografia, Utamaduni, uchumi na siasa za...
Ukisafiri kwa bus hili unatakiwa usiwe na kifurushi chochote labda bahasha tu. Ni bus linalofanya safari Tunduru – Dar es Salaam. Kila kifurushi kinalipiwa na gharama zake ni zaidi ya nauli hasa kama unatoka Tunduru. Tunduru ni eneo ambalo hupatikana mchele kwa wingi. Usibebe begi wala kisalfeti...
Mheshimiwa Rio Tinto, huifahamu Mkombozi Bank. Huifahamu hata historia yake. Umekulupuka tu na taarifa ako. Benki hii inamilikiwa na Waamini wa Kanisa katoliki Tanzania. Taarifa zako ziina walakini, nenda uongee vizuri na waliokutuma ili uipake matope benki hii adhimu. The bank with integrity
Watu wanaoishi kando ya Mto Ruvuma wilaya ya Tunduru wako hatarini kuliwa na mamba wakati wanapovuka mto Ruvuma kwenda Msumbiji kwa ndugu zao. Wakazi hao wengi huvuka kwa mitumbwi kituo ya Wenje. Eneo hilo linaogopeka kwa sababu ya uwepo wa mamba wengi.
Vipapa au watoto wamisionari wa kanisa katoliki Tanzania waliutikisa mji wa Tunduru kwa maandamano ya aina yake. Waliwasili Tunduru 12/6/2014 na kuweka kambi katika seminari ndogo ya Muhuwesi. Juni 15 waliingia katika mji wa Tunduru kwa chereko.
Wakiwa Muhuwesi walipata semina mbalimbali km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.