Recent content by Iron

  1. Iron

    JamiiForums Tanzania Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    I may not know so many things. Lakini najua Kibaki alisimama sana kuimarisha uchumi wa Kenya. Na ni vuguvugu hilo lililobadilisha siasa za Kenya hata leo. They are running! Sisi bado tunajishawishi kama tunataka kutembea au lah!
  2. Iron

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Dr. Bana, Prof. Shivji, Prof. Kitilla na UDSM katika kuliangamiza Taifa

    Yericko Nyerere Inawezekana unayoyasema yana ukweli ndani yake. Ila nikuulize swali. Umefanya tafiti ukapata maoni ya wanazuoni wangapi kuhusu katiba mpya? Umejiuliza katika mabaraza yaliyoitishwa na chuo hiki nini ilikuwa misimamo yao? Tafuta kitabu kilichotolewa na Shule ya Sheria ikijumuisha...
  3. Iron

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    V8 inakula nini jombaa? Nunua tuu
  4. Iron

    JamiiForums Tanzania Kagera: Wafariki kwenye Ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa...

    Hakuna dini yeyote ya Kikristo isiyotaja ubatizo. Ubatizo, uwe wa maji mengi au machache ni alama muhimu katika imani y Kikristo. Mambo ya mwenendo wa kanisa au uzembe wa watendaji yashughulikiwe kama hivyo na sio kuwa na general assumptions.
  5. Iron

    JamiiForums Tanzania mainjinia wa UDSM warudisha umeme mtaani

    Undergraduate Student! Pheeew!
  6. Iron

    JamiiForums Tanzania My Political Analysis on Jambo Leo: Unaweza Kuudanganya Umma kwa Muda Mfupi tu, Sio Wakati Wote!

    Manispaa 1500 zimetoka wapi jamani???
  7. Iron

    JamiiForums Tanzania TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Prof Florens Luoga wa Udsm.... Tax consultant,now DVC-Research and Knowledge Exchange. Anafaa sana
  8. Iron

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

    ICC na madawa ya kulevya?
  9. Iron

    JamiiForums Tanzania Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

    Craaaaaaaaap. Kama wamemkataza asitaje majina ya watu kwanini amtaje Sedekia?What was the motive?
  10. Iron

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Ujerumani kajisikiake na hotuba hii ya JK-UHURU?

    Yaani shule zikifungwa. . . !
  11. Iron

    JamiiForums Tanzania Dr. Bilal kugombea Urais Tanzania 2015

    Huyu huyu Bilal au kuna mwingine?
  12. Iron

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

    Yaani nasubiria kumskia mkuu wa nchi akitoa uamuzi. Sisikii
  13. Iron

    JamiiForums Tanzania PICHA: Warembo wa JF kama nilivyonasa picha zao Facebook.....!

    Umekosea kidogo. Wa kwanza kabisa ndiye Preta. Halafu huyo Paloma ndiye gfsonwin. The rest umepatia
  14. Iron

    JamiiForums Tanzania Col. Sultani Makenga (Kiongozi wa M23) ajisalimisha Kampala

    The question here is why these top leaders upon their surrender find it pleasing and safe in Rwanda or Uganda?
  15. Iron

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wanavyotuponda EAC Wakenya (Tanzania seeks new partners outside EAC)

    Can Tanzania stand without Kenya? I bet yes! Then we should show them a goodbye hand. The only problem is like Kenya has invested a lot in Tanzania. And I think the moment we close the shop with them, they are doomed!
Back
Top Bottom