Balozi wa Ujerumani kajisikiake na hotuba hii ya JK-UHURU?

ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,215
327
Akiwa ktk maazimisho ya uhuru uwanja wa uhuru kikwete alimsema vibaya sana hitrer ambaye amekuwa ni mfano wa kuigwa nchini ujerumani kwa maana ya real model.
Kwanini rais wetu anapotoka hivi.... ni kwa nini anajiingiza ktk ujinga huu?.
jamani tutafakari kwa kina.
 
hitler na nazi party yake wanakuwa condemned dunia nzima kwa sbb ya sera zao za kibaguzi dhidi ya jamii nyingine, sawa alifanya mazuri kwa ujerumani lakini mabaya yalikuwa mwngi na hayakukubali na hayakubaliki dunia ya leo,he was a dictator. wewe ndio umepotoka....na wewe ndio mjinga kwa kusapoyo nazism and dictatorship, shule haijakusaidia mkuu
 
Aliyafanya hayo ili taifa la Ujerumani liwe imara na ligopwe kiuchumi na kijeshi, Hitler alikuwa shujaa tuachane na propaganda za Waingereza na Wamarekani

ndio nimesema kuna mazuri ameyafanya, lakini ubaguzi aliokuwa nao unamfanya asiwe mfano wa kuigwa, sio kubagua tu hadi kusababisha mauaji(achana na holocoust, idea yake ya kutaka kutawala ulimwengu kulisbbsha tuingie kweny vita ya kwanza ya dunia)..
 
Akiwa ktk maazimisho ya
uhuru uwanja wa uhuru kikwete alimsema vibaya sana hitrer ambaye amekuwa
ni mfano wa kuigwa nchini ujerumani kwa maana ya real model.
Kwanini rais wetu anapotoka hivi.... ni kwa nini anajiingiza ktk ujinga
huu?.
jamani tutafakari kwa kina.

Ungekuwa umesoma Mein Kampf usingeleta hii thread. Unashabikia watu usiowajua.
 
Akiwa ktk maazimisho ya uhuru uwanja wa uhuru kikwete alimsema vibaya sana hitrer ambaye amekuwa ni mfano wa kuigwa nchini ujerumani kwa maana ya real model.
Kwanini rais wetu anapotoka hivi.... ni kwa nini anajiingiza ktk ujinga huu?.
jamani tutafakari kwa kina.

Yaani shule zikifungwa. . . !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom