Recent content by Irenee

  1. Irenee

    Anahitajika mtaalam wa IT

    Wakuu nahitaji mtaalam wa IT , kuna kazi hapa ya online business Sifa zake.... 1.awe na laptop yake 2.awe mtanzania wa mkoa wowote 3.asiwe na kazi nyingne na 4.umri kuanzia miaka 20 hadi 28 Mshahara..,...50% ya mapato .. Njoo PM kama upo tayari.... Au email ...irenebby8@gmail.com
  2. Irenee

    Kikosi kitakachowakabili TP Mazembe

    Hawa wacheza ndombolo lazima wakae leo,,,pale kwa Mkapa...... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Irenee

    Kikosi kitakachowakabili TP Mazembe

    Kila laheri SIMBA wawakilishi wa Nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Irenee

    King'amuzi cha AzamTv ( online)

    Mkuu hapo kwenye ku update ios iwe kuanzia 10 ndo unafanyaje ufafanuzi kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Irenee

    Msaada WanaSports wenzangu

    ANGALIA HAPA
  6. Irenee

    Msaada WanaSports wenzangu

    Mbona leo #zbc hawajaonesha Sj Saoura na Al Alhly Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Irenee

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu kibao cha ..."mtazamo" kilichoimbwa na Prof J na Afande sele ....mwenye nacho nakiomba
  8. Irenee

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jamani kibao cha African Revolution Band,kinaitwa .. >paulina.
  9. Irenee

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye nyimbo 2 za Tamu tamu za Mwinjuma (1).Paulina (2) Naomi.....
  10. Irenee

    MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Watanzania wanahitaji nguvu kubwa Sana kuwashawishi, walio wengi huwa wanapinga hata wasichokijua watajifanya wajuaji,,,,,, YouTube inalipa Sana ukiwa na nia Kwa mwezi hukosi hata $150 -200
  11. Irenee

    Kigwangalla: Mange Kimambi uongozi ni kiti cha moto, tunahitaji support sio matusi na lawama

    Hahahaaa usiache nicheke,,,,umejuaje kama ni matusi kama huwa husomi??? We follower mzuri make usingejua kinachoendelea huko
Back
Top Bottom