Recent content by IQ PLUS

  1. I

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Nyie ndo wale malimbukeni mnakulia kwenye funza na kunguni,mkipata viajira serikalini, mkajua kuiba mnadharau KULE mlikotokea mpaka na wazazi wenu wakija kuwasalimia mjini mnaona aibu kuwatambulisha kwa jamaa zenu.mnajifanya mmekulia town kumbe umekulia chaka.tuache ushamba.ushawahi kumuona...
  2. I

    Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Basi semeni Wana uhusiano na chadema.sisi hatujui Chochote nyie ndo mtuambie kama hao wahabesh walikuwa na ziara ya kichama au waliomba lift.mmiliki WA hiyo gari NI Nani NK.wajibu wetu sote NI kuilinda Tanzania dhidi ya wavamizi.
  3. I

    Wenza wa watumishi wa Serikali nao walipwe Mafao

    Cha MSINGI kuwe na ndoa halali.hili lazima liingie Bunge la bajeti lijalo.shauli yenu wazee wa KATAA NDOA.watu wanaenda kulamba shavu.wananchi wanasikilizwa sana SASA HV na Keri zinatatuliwa.
  4. I

    Wenza wa watumishi wa Serikali nao walipwe Mafao

    Naunga mkono hoja. Na wake wa wakulima nao wapewe. Nchi hii ni yetu sote. Mimi nikiwa shamba, ye huwa anaandaa ugali na shughuli kibao pale nyumbani.
  5. I

    Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Ndo hapo SASA.au kwa sababu wanapitisha wao mapato na matumizi?
  6. I

    PreGE2025 Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Huwa napata shida sana.unajua unapoitwa mheshimiwa lazima UWE na sifa hizo.hii nchi kuna vitu huwa nafikiria kuhusu baadhi ya viongozi Nabaki kucheka tu.bad inafu kuna migraduate haina KAZI imekaa kwa wazazi wao wastaafu inawanyonya tu,inasifia ujinga Tu.
  7. I

    PreGE2025 Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Hoja hujibiwa kwa hoja.yy kasema mnalipwa MILIONI 18 kwa SASA.tuambieni nyie mnaliwa sh NGAPI au NI IPI kauli rasmi kuhusu Hilo la mbowe?kama kadanganya c achukuliwe hatua madhubuti?
  8. I

    WB Yaikopesha Tanzania Dola Milioni 50 za Kuimarisha Mifumo ya Manunuzi na Kuimarisha Makusanyo

    Yaani serikali inakopa bilioni 126?hizi mbona hapa Ndani zinapatikana Kila cku na zinapotea hovyo.mkpo bil 126 halafu utajashangaa tunalipa bilion 50.kukopesha NI MOJA ya njia hatari ya kuendelea kumyonya muafrika.ni Mkakati mkubwa WA nchi za magaribi.mikopo inakopwa leo wanakuja kulipa wajukuu...
  9. I

    Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Kwani lazima kwenda kwenye hivo vikao vya familia?
  10. I

    Walimu kupiga watoto mpaka kuua! ipo siku atauliwa mtoto wa kiongozi ndipo tutaamka

    WAPELEKENI WATOTO FEZA,TANGANYIKA, MKALIPE MILIONI KUMI NA USHEE KILA MWAKA.UONE KAMA UTALALAMIKA MWANAO ANACHAPWA.HATA UKITAKA AWE ANAKUJA KUFUNDISHIWA NYUMBANI WANAKUJA.HUKO KWENU WANAKALIA MATOFALI DARASANI BADO MNAMLAUMU.TANGULINI FIMBO IKAUA?BIBILIA YENYEWE INASEMA USIMNYIME MWANAO KIBOKO.
  11. I

    Lema amshukia Jokate kama mwewe, asema hatuchagui kwa Jinsia, Dini au Kabila

    ALISHA WAHI KUONYA BABA WA TAIFA,JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
  12. I

    PreGE2025 LGE2024 Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

    Sawa.tuwe Makini sana wanaume.tukumbuke kilichowakuta Adam na Samson.adam akabaki analaum Tu baada ya kuulizwa swali na Mungu,Adam umefanya nn?,SI NI HUYU MWANAMKE ULIYENILETEA KAMA MSAIDIZI!
  13. I

    Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

    Zile ofisi za chama chetu zilizosambaa nchi nzima tulijenga kwa ruzuku au mchango WA wananchi wakati chama kimeshika hatam?naomba kujua.alafu naomba kuuliza HV viwanja vya mpira vya nchi hii NI Mali ya chama chetu au NI Mali ya wananchi?majibu tafadhali mheshimiwaaa.
Back
Top Bottom