Recent content by IPONJOLA

  1. I

    Gharama za simu za mikononi

    Huu wizi kwa kweli hatupo tayari kuona tunaibiwa. Kuna siku niliongea na hawa Wakala wa Vipimo, wakaniambia kuwa wataingia kwenye mitandao ya simu ili kukomesha uwizi huo. Kama inawezekana kushitaki, basi mimi naona ni vema tukakusanya ushahidi na kupeleka kwenye vyombo vya sheria.
  2. I

    Gharama za simu za mikononi

    Niambieni wapendwa. Mimi sielewi ni namna gani haya makampuni ya simu yanavyotukata pesa zetu. Ni mara nyingi nimekuwa najiunga na kifurushi cha sh.3,000/ ili niweze kutumia kwenye internet na airtel. Cha ajabu, ninapotaka kuanza kutumia internet, huwa niaambiwa salio langu halitoshi. Nikaweka...
  3. I

    Vodacom tz kwafukuta..

    Hili suala si la Vodacom tu. Ni nchi yote imeoza. Serikali haifanyi kiti chochote cha maana katika hili. Tulishakosa imani na serikali yetu. Watu mtalizungumzia lakini hakuna mabadiliko yoyote. Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya Kazi sioni wanachokifanya katika hili. Wenzetu wageni hawana...
  4. I

    Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

    Wanapokanusha, wanatakiwa waje na data za kutosha ili Wananchi waelewe na kuamini kile wanachokisema. Kukanusha bila vielelezo, haingii akilini. Waliotoa taarifa hizi walitoa na vielelezo na Wananchi ikawingia akilini. Tunataka "PROOF" ya hayo wanayoyasema. Tunahitaji Wanachi wote tujenga nchi...
  5. I

    Ukiwa na Dola 12,000/= Unaweza kuanzisha radio yako. nunua vifaa hivi mapema.

    Tupeni hizo contact zenu ili nasi tujumuike. Tupatieni hizo circuits. :yawn::yawn::yawn::yawn::yawn:
Back
Top Bottom