Ukiwa na Dola 12,000/= Unaweza kuanzisha radio yako. nunua vifaa hivi mapema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiwa na Dola 12,000/= Unaweza kuanzisha radio yako. nunua vifaa hivi mapema.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Logo, Jul 22, 2012.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau mlio na ndoto za kuanzisha radio wakati umefika ni dola 12,000/= za marekani utaweza kupata vifaa vyote vya studio na transmitter yenye walts 300 na antena yake unagonja nini wahi bidhaa hizi ni chahce.

  PM
   
 2. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,807
  Trophy Points: 280
  Mwenzio Radio Producer mbona alituambia dola 11,000?

  Tumeshaweka order kwake. Jaribu siku ingine?
   
 3. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hivi vyombo viko wapi na twaweza kuwasiliana na nani kuhusiana na mipango hii?
   
 4. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Nadhani tukiamua tutaweza kujadiri kuhusu namna ya uanzishwaji wa JF Radio wakuu.
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Naona jukwaa hili mhhh matangazo tena? Au umewalemga wanasiasa kwa ajili ya kampeni 2015..
   
 6. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Analogue au Digital? maana yake huko Tuendako hakutakuwa na Analogue... So Please Mkuu Usijeingiza watu Mkenge kama ni Analogue
   
 7. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mambo ya biashara huria haya , sawa leta habari kamili maana nina ndoto ya kuanzisha Redio Ghetto Fm
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Rahisi hivyo?
   
 9. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wasiwasi wangu isijekuwa na ndio hiyo mitambo inaishia kusikika kariakoo peke yake bila kusikia magomeni.
   
 11. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Transmitter ya watts 300 mbona ni ndogo sana? Nilikuwa namfundisha mwanangu projects mbalimbali za electronics tukajenga FM tramsimitter ya kW1 ambayo ilituletea matatizo ya kisheria kwa sababu hatukuwa na license ya frequency tuliyotumia ingawa hatukuingiliana na station yoyote hapa mjini (mungu bariki). Tuliliipa faini na kuacha project ile kuaniza hapo; ukitaka wasiliana nami nitakupa design circuits utengeneze FM transmitter yako ya 1 kW kwa chini ya dola 200. Itabidi unisubiri muda kidogo nikuchambulie kwa vile nina circuits nyingi sana katika formats mbalimbali.
   
 12. I

  IPONJOLA Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupeni hizo contact zenu ili nasi tujumuike. Tupatieni hizo circuits.

  :yawn::yawn::yawn::yawn::yawn:
   
 13. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  tupe hayo madini nna hid nayo......
   
 14. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  halafu mtangazaji wewe, operato wewe, mfunga mitambo wewe, mwandishi wa habari wewe na mengine mengi wewe!!!! Suala sio kununua hivyo vifaa, ni kuviendesha, kulipia airtime kwa tcra na kuwalipa wafanya kazi wako. Hapo ndo shughuli.

  Halafu wacha kudogoisha mambo, usitake kutuaminisha wenye redio ni maskini wenzetu kwa kutuandikia 12,000 us dollar, kwani hizo dollar ni sawa ni 19,800,000 hela ambayo ni peshen ya watumishi wa umma wanaostaafu na vyeo vya kawaida
   
 15. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mkuu naomba circuit za invetor na amprifier
   
 16. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo Radio Transmitter matangazo yake yanaweza kwenda kilometer ngapi mjini/nje ya mjini na hiko katika mfumo gani: FM/AM.
   
Loading...