Makocha wengi duniani(Ulaya hadi TZ) ukifungwa lazima alalamike sio SAF peke yake, Chelsea wenyee mwaka jana CL na Barca walimzonga refa utadhani nini, Asernal walipofungwa na Man Wenger alilalamika vilevile, Liverpool mara kibao wanalalamika tu wakifungwa, Man city vs Man walilalamika vilevile...