Recent content by Ipilimo Tuagize Magari

  1. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Unaweza kujikuta mpiga debe kwenye vituo vya daladala barabarani [emoji1]
  2. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Bright and genius editors tunaandika na kuhariri Documents zifuatazo

    Good ..keep it forever.
  3. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Siungi Mkono Kujengea makaburi

    Kwa ajili ya kumbu kumbu kwa vizazi vya hio koo ..hilo mhimu ..sio kiimani kivile mana kiimani ninkama pale ni udongo tu
  4. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Haya maisha wakati mwingine ni bahati na privilege tu

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] eti koh koh
  5. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Biashara za Mtandao (Network Marketing) zilizowahi kuwaliza Watanzania

    Ilisomba kweli na wengi walikuwa wachungaji waliwahi fursa wakawa wanavuna tu ..watu wakaondoa pesa kwenye taaisis rasmi za fedha na kupanda...weeee
  6. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ajira za lecturers zinakua readvertised sana?

    GPA tatizo...ila kazi hio haitaki elimu ya kukariri au wasiwasi au bahati bahati..wasomi wengi wasiwasi
  7. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

    Wengine wanatetea kuwa jamaa wako vizuri sana...sasa sijui inakuweje
  8. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Kiukweli dunia ni ya wachache

    Ndio changamoto inaonekana uwe mjuaji sana huko ndo utoboe...hilo la vijana wadogo kumiliki biashara za usafiri na usafirishaji kwa kiwango kikubwa nalisikia sana
  9. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Kiukweli dunia ni ya wachache

    Lkn tunduma nako nasikia mishe mishe za kimjini ni hot
  10. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Kiukweli dunia ni ya wachache

    Tunduma au? Mjini kweli fursa kibao ila kushikana mikono mhimu
  11. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Biashara ya Product Sourcing and Supply

    I like the idea..japo naziona zipo ila unaweza fanya vema tu endapo utaaminiwa na SOKO. Kikubwa ni soko wakuamini...kisha source ya bidhaa husika na jinsi utasupply
  12. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania Andiko la mradi wa trekta kilimo

    Karibu tukuandalie genuine one.
  13. Ipilimo Tuagize Magari

    JamiiForums Tanzania MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

    Zinachanganya sana. Wenyewe utasikia easy money kwenda na ukisasa. Kama kweli hizi mambo serikali kupitia wizara husika na BOT zingesaidia kuweka sawa watu pengine manufaa yangeongezeka au madhara yangepunguzwa. Naona wameacha vile watu wale au waliwe basi....ila forex ktk mifumo mbalimbali...
Back
Top Bottom