Recent content by IPACHO

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi shindana na ambaye anasema sababu ya kushindwa kwake ni ufinyu wa rasilimali na taarifa ila sisi tunasema ni dhambi za ukoo na kufanya ngono

    Hao akina Pdidy mbona wanafanya ngono mpaka kinyume na maumbile lkn bado ni matajiri,ukifanya ww mzaramo inaonekana umasikini wako ni kwa sababu ya kufungua zipu
  2. I

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nitazunguka nchi nzima kupiga debe wakati wa mabadiliko ya katiba ili kuondoa Ukomo wa Urais

    Watu kama Hawa mleta mada ni wakumwagiwa tindikali tu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

    Mm kwa kweli na Ukristo wangu lkn siwezi support kabisa unyama anaofanya yaudi kwa watoto wa Gaza ,mm naona mnaosupport yaudi hamna utu hata kidogo
  4. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani la kimtandao huko X? Ni ngumu kuingia huko hata kwa kutumia VPN

    Mm nshamba wa Tandahimba nifundisheni kuingia vpn
  5. I

    JamiiForums Tanzania Poleni wanaCCM mnaolia na kusaga meno

    Eti mnapigania ugali wa wengine,akishapata madaraka hakujuwi kwa chumvi Wala sukari halafu Leo eti unalialia eti mtu wangu kakatwa,mm siwezi hata kupoteza muda kukaa foleni eti nikamchague Fulani uchaguzi wa kisanii huui,
  6. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kusema kuna vyama vya siasa ni matawi ya CCM kwa nini na wao hawakuanzisha vyama vya siasa matawi yao?

    Pumba at its best Pumba katika ubora wa hali ya juu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

    Angechangia yy binafsi kama Azim Dewji na siyo kuitaja kabisa club yetu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

    Kwa walichokifanya Yanga Bora niamie Mtibwa sugar kuliko usengerema wa kujipendekeza CCM,mm ni mwanachama hai naichangia club yangu na siyo mwanachama WA CCM,kuanzia Leo nachoma kadi ya uanachama na vitu vyote vinavyohusiana na Yanga
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu ana watoto wa nje ya ndoa

    Amekuja kupata tulizo la moyo Jf ninyi ndo mnazidi kumtia pressure
  10. I

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

    Tutakujaje uwanjani wakati Wana CCM wanakuja na mabango yao ya mgombea wao acha washangilie wenyewe
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa

    Ila timu yangu kwa kuokoteza oil za mtani hatujambo
  12. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina na Kalikawe ni wagombea urais kupitia Act Wazalendo

    Upinzani bado sana Tz
Back
Top Bottom