Recent content by Ionic banner

  1. I

    JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

    Wakati mwingine inashangaza sana. Hivi najiuliza nguo ya jeshi si mali ya jeshi? kwa hiyo raia nguo hizo wanazitoaga wapi?! Maana kama jeshi linafikia hatua ya kupiga marufuku uvaaji wa nguo zao basi kumbe inafikirisha kwamba wananchi wanaziiba huko jeshini? Na kama zinaibiwa huko kisha kuja...
  2. I

    Wadau naomba kazi inayohusiana na 'delivery'

    Wadau naomba kazi inayohusiana na 'delivery' au inayofanana na hiyo. Nina experience ya 5+ years Niko na valid driving licence pia na pikipiki. Elimu yangu ni Form Six Computer: MS Word & Excel Ninaishi Dar Es Salaam. Kama yupo mwenye huitaji karibu Pm tuzungumze.Asante
  3. I

    Naombeni tafsiri ya ndoto hizi

    Ni muda sasa nimekuwa napitia mazingira magumu sana ya kimaisha ajira ikiwa kwangu ni jambo lisilotatulika pamoja na kutegemewa na familia niliyonayo. Nimekuwa nikijitahidi sana kutafuta kazi kwa nguvu nyingi but naishia kuambulia patupu. Jambo ambalo limekuwa likinikosesha raha ni namna ya...
  4. I

    House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba ya ghorofa moja Inauzwa milioni 300 maongezi yapo Ipo bunju B - Dar es salaam Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni self contained ▫Sitting room zipo mbili chini na juu ▫Dining room ◇ Kitchen ◇Store ▫ Public toilet ▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1377 ◇document clean TITLE DEED (Hati miliki...
Back
Top Bottom